Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Ila binafsi kuna kakijitambi fulani hivi nafurahia mwanamke awe nacho... mimi sio mfuasi wa vitumbo flat kiviile...
 

Watu wengine wana tabu sana...huyo mwenye kitambi ni nani yako mpaka usema hupendi? yeye ana wake anapenda tu jinsi alivo. Na yeye ni nani kwako abadilikie sababu wewe haupendi. Tubadilike wanaume sasa..oh me sipendi vitambi, me sipendi nywele fupi...tafuta mwenye nywele ndefu problem solved. Hawawezi wanawake wote wakawa sawa. Mimi napenda sana wanawake wanene ni watamu haswa, kama wewe hupendi tafuta mwembamba usinyanyashe wanawake wote kwa matakwa yako wewe, usikute wewe mwenzangu na mimi mfupi kama mimi halafu hauna nywele hata moja, sasa sijui wanawake wakianza kusema hawapendi wanaume wafupi tutakimbilia wapi mkuu
 
Kwani lazima umwambie tumbo baya??si unamwambia kistaarabu kama ni mwelewa ataelewa sana tu..
Unajua wengi tunategemea wapenzi wetu watusifie na wajione wenye bahati sasa inakuaje pale mtu unayetegemea akusifie ndo anakuambia hivyo? mimi nafikiri ukipenda ua penda na boga lake
 
si vibaya ukawaelekeza na namna ya kupunguza vitambi ili usiendelee kukereka mkuu
 
umeongea point.yaan wajitahidi kuwa ktk afya nzur,maana kisukar na presha ni hatari.
 
umeongea point.yaan wajitahidi kuwa ktk afya nzur,maana kisukar na presha ni hatari.
 
duh...sawa mkuu
hapana ujue kuna kitu umenikumbusha kuwa tatizo la wanadam wengi hawapendi kufata yale mambo yaliyo muhimu na mara nyingi tiba nyingi watu huona tabu kuzifuata......so inawezekana ukawapa tiba ya kutatua tatizo la tumbo kuwa kubwa akaona uvivu kuifuata tiba
 
Nani kakwambia mi mchungaji?

Hivi mnasomaga post na kuelewa au huwa mnahamaki na ujumbe?

kuweka ushuhuda kuna maanisha mimi mchungaji?
Kwani muhuni na genge lake wanatambulikaje? Wewe uliingia jukwaa la wakubwa kwa ridhaa yako halafu ukajifanya kupinga content iliyopo kwa kuleta maonyo ya kibiblia kana kwamba wewe ni msafi sana na unaijua dini kuliko wengine humu. Kwani nani alikualika jukwaani kule???

Unawadanganya watu humu kwamba wewe ndiye mwenye uelewa mkubwa huna lolote!! Ulishindwa hata kuelewa maana ya maneno marahisi kama "AT YOUR OWN RISK" utaweza SIASA wewe??. Kama hujielewi ni bora ukaaa kimya usichokoze watu wanaoelewa wanachokifanya.

Unajilinganisha wewe na YESU kwa mifano, je YESU alitoa mifano ya kijinga kama ya kwako?? Kwa taarifa yako YESU alipotoa mfano wa ngamia mwishoni alisema, "lisiliwezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana". Nawewe yote unayoyasema ni kweli kwako yanawezekana, kama ni tigo kweli unatoa wewe!!!

Kimjazacho mtu moyo wake ndicho kimtokacho, unatoa TIGO wewe usihadae watu hapa!!!!!
 
Big up mkubwa, umenigusa mtima wangu!! BUSARA KAMA HIZI ZINAHITAJIKA SANA HUMU. 100%...
 
Ungekuwa unaelewa vizuri nini maana ya Comprehension, ungetoa mifano kama ya hao uliowataja hapo juu, wewe ya kwako hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa mifano kama hiyo. Kichwa maji ni wewe na miushuhuda yako ya uongo ukijidai wewe ni mtakatifu sana kumbe ni ni wale wale wa kawaida tu.

Umebanwa kwenye kona unataka kutokea kwenye mlango dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…