Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hahaaa usiombe mpenzi Tuko akaona hapa.
tuko? tuko wangapi ama tuko jina la mtu?
mwambie aje kimya kimya.. miimi sio mtu mzuri aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa usiombe mpenzi Tuko akaona hapa.
vipi? mbona unapanic?
calm down meen.. this is for ur own safety!
Sijapinic kuongozi... nilikuwa nakuonyesha tu mipaka ya hiki kitalu...
btw, unanifahamu vizuri lakini?
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje,wanakeraaaa.
Unakuta dada mzuri ajabu,shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh,kuja mbele sasa,chevuuuu,tumbo hilo!,uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho,mnakula sana kuliko hata midume,machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani,kwani mki maintain shape kuna ubaya gani,
We huoni watoto kama Jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha,sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo,au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
Unajua wengi tunategemea wapenzi wetu watusifie na wajione wenye bahati sasa inakuaje pale mtu unayetegemea akusifie ndo anakuambia hivyo? mimi nafikiri ukipenda ua penda na boga lakeKwani lazima umwambie tumbo baya??si unamwambia kistaarabu kama ni mwelewa ataelewa sana tu..
duh...sawa mkuutatizo manamake ya siku hizi yanakula sana!!...hata nikisema niyape dozi yatashindwa tu!!
harafu **halafu** anasubilia ** anasubiria*** vipi ungekua wewe ungepata division ngapi?
hapana ujue kuna kitu umenikumbusha kuwa tatizo la wanadam wengi hawapendi kufata yale mambo yaliyo muhimu na mara nyingi tiba nyingi watu huona tabu kuzifuata......so inawezekana ukawapa tiba ya kutatua tatizo la tumbo kuwa kubwa akaona uvivu kuifuata tibaduh...sawa mkuu
Kwani muhuni na genge lake wanatambulikaje? Wewe uliingia jukwaa la wakubwa kwa ridhaa yako halafu ukajifanya kupinga content iliyopo kwa kuleta maonyo ya kibiblia kana kwamba wewe ni msafi sana na unaijua dini kuliko wengine humu. Kwani nani alikualika jukwaani kule???Nani kakwambia mi mchungaji?
Hivi mnasomaga post na kuelewa au huwa mnahamaki na ujumbe?
kuweka ushuhuda kuna maanisha mimi mchungaji?
Big up mkubwa, umenigusa mtima wangu!! BUSARA KAMA HIZI ZINAHITAJIKA SANA HUMU. 100%...Watu wengine wana tabu sana...huyo mwenye kitambi ni nani yako mpaka usema hupendi? yeye ana wake anapenda tu jinsi alivo. Na yeye ni nani kwako abadilikie sababu wewe haupendi. Tubadilike wanaume sasa..oh me sipendi vitambi, me sipendi nywele fupi...tafuta mwenye nywele ndefu problem solved. Hawawezi wanawake wote wakawa sawa. Mimi napenda sana wanawake wanene ni watamu haswa, kama wewe hupendi tafuta mwembamba usinyanyashe wanawake wote kwa matakwa yako wewe, usikute wewe mwenzangu na mimi mfupi kama mimi halafu hauna nywele hata moja, sasa sijui wanawake wakianza kusema hawapendi wanaume wafupi tutakimbilia wapi mkuu
Ungekuwa unaelewa vizuri nini maana ya Comprehension, ungetoa mifano kama ya hao uliowataja hapo juu, wewe ya kwako hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa mifano kama hiyo. Kichwa maji ni wewe na miushuhuda yako ya uongo ukijidai wewe ni mtakatifu sana kumbe ni ni wale wale wa kawaida tu.mkuu Baba V
unaweza kuacha haya?
nakuheshimu sana coz wewe ni mwalimu na naamini unauelewa wa kutosha juu ya mambo...
exaggerated point si unaijua kazi yake? mfano mramba aliposema wananchi wale nyasi ndege ya rais inunuliwe kwa akili yako unaamini ingetokea?
yesu aliposema ni rahisi ngamia kupenya ktk tundu la sindano alimaanisha nini?
Utambue kuwa hapa si wote wanauelewa mkubwa kama wewe wengi huishia kwenye knowledge tu hawafiki kwenye comprehension
nakuheshimu sitaki nikuvunjie heshima coz sote tunakutanaga kule kwenye akili kubwa....
kusema kwangu vile ilikuwa ni kuonyesha jinsi gani ilivyokua ngumu kushinda...
vichwa maji watauchukulia ujumbe kama ulivyo niwie radhi nduguyo
kila heri tukutane kalenga kumbuka unyonge sasa basi...
wasalaaam