and he call himself a doctor hahahaa may be doctor wa mabwabwa.Mkuu assume kwamba ndio uko infront of 100,000 JF great thinkers halafu una present hoja kama hii kwa maneno kama hayo uliyotumia! hivi ungefikisha kweli dakika jukwaani bila kupigwa chupa? you dont have good presentation skills. you need some researches before you erupt .. naona uswahilini uliko hamia kumekuharibu maximumly!
Msiharibu shape zenu jamani yaaani balaaaa na hiyo mitumbo kha na hapo ukute hajazaa akizaa sijui itakuaje!na bado utakerekwa sana......
and he call himself a doctor hahahaa may be doctor wa mabwabwa.
mwanaume kutokuwa na 6 packs kawaida!..sasa mwanamke kuwa na kitambi ulionaga wapi? Mbona zamani wanawake walikuwa hawana mitambi!...urohooo huo!
Kwendraaaa,we zamani unajua ilikuwaje?
Kwani umelazimishwa kuwapend hao wenye vitambi??
One man's meat is another man's poison!!
Fanya yako.
acha tumsamehe tu.hii ni a.k.a tu J.lee, if he were a real doctor, vifo vingeongezeka kila siku, kesi za mikasi matumboni zisingeisha, operesheni za magoti badala ya tumbo zingekuwa gumzo tu duniani zikitokea TZ! huyu sijui awe doctor wa nini ndio afit.. he dont deserve the profession..
under twenti mwache alalame tu shosti watu wamembembeleza wee anaringa mi nikachukua fursa kwa Window7 na hv nnavyoongea nshaanza kusikia kichefchef,nalala hovyo sipendi dagaa nataka kuku sijui kimejipa!
yaani wewe ndo umetoa point kuliko wote!!..maana manamake ya humu jf yenye vitambi mabishi kama nini!..haya nendeni mkapunguze matambi yenu kwa jamaa!!..
Nimemwambia akamfunue bibi yake atuletee picha...
Shika adabu yako,
Manamanake ndo nini??
Tumia akili sio makalio.
hahahaaaa!!! oh my jaws!
jamani msishikiane ak-47! sawa eenh!
jost make a cold war!
Under twnt hayawez mambo yakikubwa ikabidi aombe po.. Halaf usipende kumpa stres my wife J.lee ebo
- :evil:
oph!thus ma beby lov u sanaaaaaa!Nimezama kwako bibie under twenti hana nafas tena.. My bebioo jiandae nxt wk twende kwa Dr Kailuki tukachek baby wetu anaendeleaje...
Amah kweli angekuwa karibu,
Angekuwa halali yangu.