Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ungekuwa unaelewa vizuri nini maana ya Comprehension, ungetoa mifano kama ya hao uliowataja hapo juu, wewe ya kwako hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa mifano kama hiyo. Kichwa maji ni wewe na miushuhuda yako ya uongo ukijidai wewe ni mtakatifu sana kumbe ni ni wale wale wa kawaida tu.
Umebanwa kwenye kona unataka kutokea kwenye mlango dhaifu.
Adhabu kuu ya mpuuzi ni kupuuzwa...
Akili ndogo na nyepesi hujadili watu si hoja wala mawazo..
Hata kwenye hoja huacha kujadili hoja na humjadili mtoa hoja....
kumshambulia mtoa hoja badala ya hoja huipa hoja mashiko na mguso mkubwa kwa watu...
you are too local
K
