Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Nioneshe mfano...hata kwa ziwa kwanza.Nifah njoo nitakuhonga mpaka bahari
Nioneshe mfano...hata kwa ziwa kwanza.
Then bahari itafuata [emoji39].
Unamuacha wapi Kabanga?navutiwa na comment zamr interesting aka the boss comment zake zinafurahisha
hahhh nae akicomment pia anacomment vizur bila kumsahau mo11Unamuacha wapi Kabanga?
hahhh nae akicomment pia anacomment vizur bila kumsahau mo11Unamuacha wapi Kabanga?
hahhh nae akicomment pia anacomment vizur bila kumsahau mo11Unamuacha wapi Kabanga?
Changamkia fursaNimelipenda hili jibu naruhusiwa kuja inbobo[emoji81] [emoji81] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyo Lizabon anaandikaga nini cha maana zaidi ya ushabiki wa ajabu?Ukiandika mambo ya maana hakuna wa kukushobokea hasa wanawake we uliwahi kuona MTU anamtaja
1. Pasco
2. Ben saanane
3. Lizabon
4. Britanicca
5. Faiza foxy
6. Nyani ngabu
Wanaotajwa ni hao hao hata ukiangalia wamekaa kaa kwenye MM
Unazingua sasa...nimesema nioneshe mfano.[emoji3][emoji3][emoji3]fuko la hela unalipiga teke
I miss u Madam B.Mmoja wapo ni Konda wa bodaboda, kiazi chenye mzizi
Unazingua sasa...nimesema nioneshe mfano.
Kipi hujaelewa?
Saaaana [emoji39]Nizingue nin tena wee ukiwezeshwa si unaweza
Saaaana [emoji39]
Duh sijui ndo miekuna mkaka anaitwa yaani nikimpata hyo nitakuwa namuogesha kama mtoto sitomuumiza milele till death inaitwa
[emoji12]Mimi namzikia sana maxence mello..... Yaani nampendaaaa duh
Mkuu nakusalimia...Ndio maana siachi kukulavu wewe...khaaa!!!