Mwenyewe nafikiria kunyoa ila nikifikiria kuanza upya naishia kuahirisha tu...Muambie akutumie mom.
Japo sipo interested sana na kusuka hizo makitu.
Kwanza nataka kunyoa kabisa,nimeyachoka manywele.
Mimi pia.Mwenyewe nafikiria kunyoa ila nikifikiria kuanza upya naishia kuahirisha tu...
Tena hapo kwenye mtoko ndo mtihani.... Mi siku nyingine hua naahirisha church kisa nywele.... Au mjini kama zimefumuka napata uvivu kutoka kwakweli. Ngoja tu nitaja nyoa tuMimi pia.
Ila jaribu kufikiria hizi nywele hatukuwa nazo...zitaota tu nyingine.
Nimechokaaaaa!
Nikitaka kutoka sina amani nywele natokaje [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Bora nibaki na afro tu.
Nikipata mtoko hata mafuta ya nazi twende na zinashine mbayaa [emoji108]
Nywele na matunzo yake ni utumwa.Tena hapo kwenye mtoko ndo mtihani.... Mi siku nyingine hua naahirisha church kisa nywele.... Au mjini kama zimefumuka napata uvivu kutoka kwakweli. Ngoja tu nitaja nyoa tu
Aaaah hivi mbona notifications zako hazijagi eti. Me nimewataja wengi tuAcha tu imebidi nireply ili ikae ktk kumbukumbu zangu.. BTW wewe umemtaja nani
Itakuwa mods wananihujumu, ktk hao wengi nami nimoAaaah hivi mbona notifications zako hazijagi eti. Me nimewataja wengi tu
Haha umeona eehItakuwa mods wananihujumu, ktk hao wengi nami nimo
Halafu nabarikiwa sana na hicho kidukuHaha umeona eeh
Haha me ninacho kiduku cha kunyoa lakiniHalafu nabarikiwa sana na hicho kiduku
Aisee, itabidi nikione hicho maana hamna namnaHaha me ninacho kiduku cha kunyoa lakini
Fanya tu mpangoAisee, itabidi nikione hicho maana hamna namna
Maeneo ya kujidai si unapajua nikukute huko basi, maana umefunga mlangoFanya tu mpango
Haha haya nakusubiriMaeneo ya kujidai si unapajua nikukute huko basi, maana umefunga mlango
Discriminatoon,Segregation.Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Tutoke Tu Bro Au Tuanzishiwe Jukwaa La Akina SIPENDEKI BIN SITAKIWI.Yaan asipojitokeza hata mmoja.najitoa jamii forums.
..am Right Here BabyDiscriminatoon,Segregation.
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nigga You Gay?. Ebu Acha Usenge ASAP..am Right Here Baby