Nipe nafasi mrembokuna mkaka anaitwa yaani nikimpata hyo nitakuwa namuogesha kama mtoto sitomuumiza milele till death inaitwa
Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.
Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!
Pasco
mkuu mimi pasco nakupenda sana na kwa vile sijamtaja mtu basi ni weweMkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.
Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!
Pasco
nimempa PascoNipe nafasi mrembo
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu MWENYE AKILI ZA KUKU anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Hata mimi nakupendaga sana tuu na nadhani kama niliisha ku date humu jf.mkuu mimi pasco nakupenda sana na kwa vile sijamtaja mtu basi ni wewe
Am the one among them wor out,Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
ahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!Aliekuficha inaelekea anakupa vinono vya high qwality
HhahahahahahaMimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Niazime basi japo kwa usiku mmoja tu jamani[emoji6]ahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!
naogeshwaaaaaa kwenye mayonaise
af nasuguliwa miguu na mafuta ya karafuu
halafu nalazwa kwenye duvet la Hariri lenye marashi ya asumini
ah wacha kabisaaa!
jamaa katishaaaa!
Mhhhhhh wanaume wote watahamia siasani jamaniNavutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusiniπ au Ile Debate ya Trump na Clintonπ au anajadili kuhusu Bombadiaπ, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na punyπ΅to wapite hiviii......
Na mimi unitumie jamani[emoji6]Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.
Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!
Pasco
Na mimi unitumie jamani[emoji6]
weeeeeeee!Niazime basi japo kwa usiku mmoja tu jamani[emoji6]
Teh saga chupa...Mnamshibokeea mchizi....
Mnaniudhi nyie....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
..Njoo nikuchambulie mgogo wa sudan kusini [emoji41]Navutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusiniπ au Ile Debate ya Trump na Clintonπ au anajadili kuhusu Bombadiaπ, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na punyπ΅to wapite hiviii......