Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.

Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!

Pasco

mkuu mimi pasco nakupenda sana na kwa vile sijamtaja mtu basi ni wewe
 
Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Am the one among them wor out,
 
Aliekuficha inaelekea anakupa vinono vya high qwality
ahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!
naogeshwaaaaaa kwenye mayonaise
af nasuguliwa miguu na mafuta ya karafuu
halafu nalazwa kwenye duvet la Hariri lenye marashi ya asumini
ah wacha kabisaaa!
jamaa katishaaaa!
 
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hhahahahahaha
 
Navutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusini🙂 au Ile Debate ya Trump na Clinton😀 au anajadili kuhusu Bombadia😛, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na puny😵to wapite hiviii......
 
ahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!
naogeshwaaaaaa kwenye mayonaise
af nasuguliwa miguu na mafuta ya karafuu
halafu nalazwa kwenye duvet la Hariri lenye marashi ya asumini
ah wacha kabisaaa!
jamaa katishaaaa!
Niazime basi japo kwa usiku mmoja tu jamani[emoji6]
 
Navutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusini🙂 au Ile Debate ya Trump na Clinton😀 au anajadili kuhusu Bombadia😛, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na puny😵to wapite hiviii......
Mhhhhhh wanaume wote watahamia siasani jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.

Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!

Pasco
Na mimi unitumie jamani[emoji6]
 
Navutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusini🙂 au Ile Debate ya Trump na Clinton😀 au anajadili kuhusu Bombadia😛, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na puny😵to wapite hiviii......
..Njoo nikuchambulie mgogo wa sudan kusini [emoji41]
 
Back
Top Bottom