kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 510
Wanawake dizaini yenu mnaangukiaga pua sana nyie.Nyooo 😀😀😀😀
Pesa ya tax elfu 20 tu, mnakuja kutufungulia thread, unadhani mtazimikiwa?sizimikiwi na mtu yyte humu duuh nina gundu nn
Weka picha nionenkufuli lilivokaa[emoji3] [emoji3]Bado kufuli liko kwa nje.
Pasco
piga pushap tutaamini kwamba hutayuangusha(in sukuma voice)Jamani wakinadada na wakinamama nichagueni, Nawaahidi sitwaangushaaaaa. Maana naona sijatajwa, Inabidi nianze tuu kampeni. Maana hakuna namna.
Ha,ha,haaaaa....Hii chain ni hatari,alafu wengi ni wake za watu.wangejua waume zenu,talaka zingekuwa nje nje
Mpoki wa Efm, anasema Dera likiwekwa bleach hugeuka kanzu..Nanyie mna kiherehere wameulizwa wanawake mnakimbilia nyinyi mtavikwa madela
Duh nomaaPesa ya tax elfu 20 tu, mnakuja kutufungulia thread, unadhani mtazimikiwa?
Mwanamke yake matumizi jamaniiiii
Sijaelewa tatizo la wanaume jf, yaani wamezidi kulia ,shida ni nn jmn??Pesa ya tax elfu 20 tu, mnakuja kutufungulia thread, unadhani mtazimikiwa?
Mwanamke yake matumizi jamaniiiii
Mie naona ni vyote, pesa na uchoyo.Sijaelewa tatizo la wanaume jf, yaani wamezidi kulia ,shida ni nn jmn??
Ni kwamba pesa hakuna au ni uchoyo umewazidi?
He,heh..Mie naona ni vyote, pesa na uchoyo.
Maana juzi mtu kaombwa pesa ya tax elfu 20, kuanzia Insta mpaka FB tumejua....mpaka kaja kuanzisha thread humu, kama sio choyo zao kitu gani?
Na ubahili pia...khaaaa!!!!
Wanaume humu wanalia lia tu....sijui huko 6 kwa 6 wanaliaga hivo?
Tena waache, wasisubiri tugharamiwe huku mitaani, tukitoka ndio watuone.He,heh..
Mtu analia kutoa 20 ya tax, lakini hapo hapo anakwambia anataka dem mkali.hivi huu ukali wa dem unapatikanaje bila gharama?
Najua watasema uzuri wa mwanamke anazaliwa nao.
lakin wajue, huo ukali wa dem unachangiwa na urembo...acheni kulia lia.
Ha,ha,haaaa.....Vya bure ghali atiii.
Kulia lia tuujuu
love u moree [emoji7][emoji7] mm natumia cmi love u, ivi emoji unazipata wap?
Mimi navutiwa na Nyani Ngabu yaani hamna mfano halafu cha ajabu sijui why navutiwa naye. I guess i am blind[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Ndio wanaumr dizaini hii wanaishia kugongewa mademu zao tuHa,ha,haaaa.....
Mwenye masikio na asikie.mwanaume halii lii hovyo, na wakizoea hii tabia hata akiombwa hela ya kitenge na mkewe bado atalia tu.
Waache, tabia mbaya tu
Na wakigongewa wanarudi tena hapa,Ndio wanaumr dizaini hii wanaishia kugongewa mademu zao tu