Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Huu uzi ulikuwa maalumu kwa ajili ya wanawake ila umejibiwa zaidi na wanaume kuliko wahusika...., Anyway nilikuwa nataka nichangie nikakumbuka uzi ni wa kike kwa hyo haunihusu

Nalog off
 
Hakuna kitu kipya chini ya ardhi mama ,,,kila mtu yupo kimaslahi dunian
 
Wanawake mnaitwa huku
 

Mimi ni mwanaume, kwa hiyo naweza wakilisha fikra za huyo, dont ever date na mtu uliyemzidi umri kabisa, labda kama ni for fun and no feelings is involved,

utakuja chukia wanaume milele na kupoteza chance ya kuwa na furaha na mahusiano kwa sababu hiyo.

Pia, kwa nini uende safari ndedu hivyo na kijana wa watu kumgharamisha ujaja uliza ushauri, unakuja uliza? Wakati anakusaidia ulikuwa unafikiria anataka nini kwako?

Keshakulegeza mpaka ana uthubutu wa kukuambia lolote regardless gap ya umri kati yenu, nafikiri umemtumia kijana wa watu vibaya.
 
Sasa kipenzi na misaada yake basi asipokee naona hana pa kukwepea na hapo anakwambia mambo ya biashara mpya ameambiwa atasaidiwa tena

Na kingine ukisoma vizuri mwanamke mwenzetu ni kwamba na ye ameshampenda jamaa sema anaona aibu ya umri tu

Wakiingiza tu mapenzi, kila kitu mpaka misaada itakuwa migumu, mapenzi ni jambo gumu sana.

Mfano:

1. Mwanaume atafanya kila kitu kabla hajamvua mwanamke chupi, and mda unavyoenda ndo atazidisha bidii maana ataona hii kitu ina thaman, sio kawaida.

2. Ukishavua chupi tu, kwanza anakuona wa kawaida, mategemeo yake yanaweza yawe mabaya, asipende maungo yako, hawezi kaa.

3. Akienda mwanamka analalama wanaume wote ma Mbwa, hakuma, hawana uumbwa wala, ni ujinga wako tu usiojua saikolojia ya wanaume, ni ngumu sana.

4. Hakuna ndoa ya mwanamke na mwanaume yenye natural Upendo ambayo mwanamke amemzidi mwanaume kwa miaka kumi, lazima iwe na plugins ambayo ni fedha za mwanamke.....

Kwa kumalizia:

Hakuna mwanaume anaweza kumgharamia ki unyumba mwanamke mwenye kumzidi umri mwanaume kwa miaka 10, dogo anataka kufanya experience.
 
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Wewe unampenda jamàa Ila yeye ametamani kula ngoma kubwa ili kusudi ajue na aone ngoma kubwa ukiipiga mlio wake unakuaje na inakua na experience gani, ninakwambia km mwanaume acha wanaume nimwage Siri ya kambi ipo hivi wanaume tuna tabia ya kudadisi wanawake kwa umri yaan may be let say nikilala na mwanamke mwenye umri mdogo anakuaje na nikilala na mwanamke mwenye umri mkubwa anakuaje so hizo zipo ndio maana nakwambia jamàa pamoja na kwamba amekutendea mazuri Ila lengo ni kuonja una radha gani akishaonja akiona huna radha anayoihitaji utapigwa chini sipepesi macho nakwambia uhalisia ingawa wewe umeomba ushauri kwa wanawake sio wanaume kwa jiandae kuliwa na kuwekwa kando Ila km ukimridhisha basi mtakua ni Kusah & Shangazi (Aunt) Ezekiel
 
Kumbuka kasema ye mzuri ana shepuna rangi ya mtume 😂😂😂
 
Kote umeshauri poa isipokuwa hili la kumshauri asimtie moyoni haujaliweka sawa sawa.

Sasa hivi wapo kwenye stage ya kutamaniana, ndiyo mana kuna maswali mengi na majibu ni mengi pia.

Sasa wakiingia kwenye stage ya pili wakalalana, hapo hakunaga tena kuichagulia roho kupenda ama kupuuza, hapo roho ndiyo hukupangia njia ya kufuata na siyo wewe kuipangia!

Wanaoweza hayo labda malaya wa kujiuza, lakini nao pia huwa ni waongo tu, mbona huendeshwa na ving'asti kwa kuvihonga na kuvitunza, ina maana kuna sehemu na wenyewe hukwama!

Mapenzi siyo mchezo, ogopa sana matokeo ya kuvuliana nguo!

Uzuri wa mtoa mada haongelei mambo ya ndoa tukashauri vinginevyo, lakini ye'anaongelea mapenzi ya mahusiano tu.

Mi'nashangaa watu namna wanavyocomment bila kuemuelewa kiundani mtoa mada anataka mahusiano ya namna gani.
Angalizo:
Je wajua kuwa huyu mleta mada anaweza kuwa amefungua uzi ili kusherehekea ushindi baada ya "kutembea" na huyo kijana tayari?

Wengi sana kwenye mahusiano hupenda kujisherehesha kwa kuomba ushauri kwa jambo alilokwisha kulifanya tayari kama njia ya kujifariji nafsi yake!

Sasa tunavyohangaika kujibu comments kwa kutumia medula oblongata, ye'yupo mkucheka tu.

Ni sawa na mtu aliyekula na kushiba na kisha kuwatupia mabaki mbwa halafu yeye kubakia akifurahia jinsi wanavyogombania kwa knyang'anyana!
Hajatula akili zetu kweli huyu dada jamani?

Kwanini ye'mwenyewe asielewe kuwa mapenzi ni "gulio" , hata mali ya dampo ikinadiwa haikosi mnunuzi, kuna shida gani kupendana na mdogo wake ki umri?

Katika mapenzi kuna wanaume kwa dhati kabisa hutafuta wanawake wakubwa wanaowazidi umri kutokana na orientation ya hisia zao, vivyo hivyo kwa wanawake pia, siyo vigeni na siyo ajabu na hakuna ubaya wowote!

Sasa iweje leo kwa huyu mdada!

Aliwe kama hajaliwa bhana, asituhangaishe sisi akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…