Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh 10yrs sijui ila mimi hapana kabisa, unakua kama mama yake mdogo bana[emoji848], ila kuna wanaoona sawa tu na maisha yanaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaa khaaaahChukua hili.. Ongezea na maandiko ya kitabu Cha mabaharia wa 2:3-5 "Awaye na ngongingo, apelekewa moto usio kifani".
acha roho mbayausimpe tamu walau baba zake wadogo au wajomba
nawausia vijana wenzangu tutafute hera yani tutafute hera yajayo yanafurahisha😉😉Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.
Kama ni mnyaq mpe tuUkoo tofauti kabisa hata majina ya mwisho dear. Yeye wa Kyera mimi wa tukuyu.
Watoto wangu hawamjui .
Ila yeye anawaona tuu.
😂😂😂🤝🤝Ndagha mwaisaUngamwimaga unnino mpe ubhunyafu mwee
Wanawake mnaitwa hukuWanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Toa mzigo bhana mbona hela anachukua na vifaa vya saluni ananunuliwaMh 10yrs sijui ila mimi hapana kabisa, unakua kama mama yake mdogo bana🤔, ila kuna wanaoona sawa tu na maisha yanaendelea
Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.
Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.
Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.
Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.
Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.
Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.
Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.
Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.
Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.
Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Karibu mwenzangu.
Sasa kipenzi na misaada yake basi asipokee naona hana pa kukwepea na hapo anakwambia mambo ya biashara mpya ameambiwa atasaidiwa tena
Na kingine ukisoma vizuri mwanamke mwenzetu ni kwamba na ye ameshampenda jamaa sema anaona aibu ya umri tu
Wewe unampenda jamàa Ila yeye ametamani kula ngoma kubwa ili kusudi ajue na aone ngoma kubwa ukiipiga mlio wake unakuaje na inakua na experience gani, ninakwambia km mwanaume acha wanaume nimwage Siri ya kambi ipo hivi wanaume tuna tabia ya kudadisi wanawake kwa umri yaan may be let say nikilala na mwanamke mwenye umri mdogo anakuaje na nikilala na mwanamke mwenye umri mkubwa anakuaje so hizo zipo ndio maana nakwambia jamàa pamoja na kwamba amekutendea mazuri Ila lengo ni kuonja una radha gani akishaonja akiona huna radha anayoihitaji utapigwa chini sipepesi macho nakwambia uhalisia ingawa wewe umeomba ushauri kwa wanawake sio wanaume kwa jiandae kuliwa na kuwekwa kando Ila km ukimridhisha basi mtakua ni Kusah & Shangazi (Aunt) EzekielPia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Kashakula Pesa za vifaa vya saloon jamàa kafuata marejesho anataka amchachue kidogo Shangazi yake mkubwa sijui kapenda msambwandaa,Unakula vya mwanaume halafu unaomba ushauri. Utachomwa visu shostito
Kumbuka kasema ye mzuri ana shepuna rangi ya mtume 😂😂😂Wakiingiza tu mapenzi, kila kitu mpaka misaada itakuwa migumu, mapenzi ni jambo gumu sana.
Mfano:
1. Mwanaume atafanya kila kitu kabla hajamvua mwanamke chupi, and mda unavyoenda ndo atazidisha bidii maana ataona hii kitu ina thaman, sio kawaida.
2. Ukishavua chupi tu, kwanza anakuona wa kawaida, mategemeo yake yanaweza yawe mabaya, asipende maungo yako, hawezi kaa.
3. Akienda mwanamka analalama wanaume wote ma Mbwa, hakuma, hawana uumbwa wala, ni ujinga wako tu usiojua saikolojia ya wanaume, ni ngumu sana.
4. Hakuna ndoa ya mwanamke na mwanaume yenye natural Upendo ambayo mwanamke amemzidi mwanaume kwa miaka kumi, lazima iwe na plugins ambayo ni fedha za mwanamke.....
Kwa kumalizia:
Hakuna mwanaume anaweza kumgharamia ki unyumba mwanamke mwenye kumzidi umri mwanaume kwa miaka 10, dogo anataka kufanya experience.
Mwambie avue tu chupi miaka 27 inatosha kabisaKashakula Pesa za vifaa vya saloon jamàa kafuata marejesho anataka amchachue kidogo Shangazi yake mkubwa sijui kapenda msambwandaa,
Kote umeshauri poa isipokuwa hili la kumshauri asimtie moyoni haujaliweka sawa sawa.Hapo utake usitake lazima umvulie chupi... Unataka ushauri gani mwanamke mtu mzima, miaka michache ijayo unaingia menopause..? Mpe dogo utelezi sikuhiz ni mambo ya kawaida tu hayo... Kikubwa cha kukushauri usimuweke moyoni sana, ili baada ya kukumega ikatokea amekudampo usiumie moyo... Kuna wanawake huku nimeona wanakuambia achana naye, usiwasikilize maana wao wenyew wanaliwa hadi na wavulana wa Certificate...