Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Nimecheka hapo uliposema hutachangia chochote, lakini ukamalizia na aufuate moyo wake..!!Ni mimi tuu au hata wengine hicho kipande cha mapacha wa kiume wanafanana baba yao hamjakielewa? Back to the topic. Sitochangia chochote maana swali limeelekezwa kwa wanawake. Lakini mleta mada ungeusikiliza moyo wako.
Heee unatumia hivyo viduke deardildo
Huyo Shunie ni mwehu Sana 🤣We shunie wewe..!!! Mamdogo Amehlo embu njoo usome alichokiandika Shunie...!!
CC Bantu Lady na shemela Evelyn Salt
Lakini si vipo hivyo vibomba..!?Huyo Shunie ni mwehu Sana 🤣
Yes, toilet yeyote ya kisasa vinapatikana😁😁😁Lakini si vipo hivyo vibomba..!?
Na Mimi nimeishia njiani😅😅😅Japo nimeiishia kusoma kwenye "anafanya kazi ana gari..." ila unaonekana ushaliwa kimasihara hongera jimama jeupe wasalimie wakina kulwa
Nyuma ya keyboards anakataa katu katuAtaliwa kabla ya siku 7 kuisha 😀
Hapo safi kunywa amarula kwa hela yako huku ukijipiga kifuani kuwa wewe mwanamke kweli kweliAaah mi silagi pesa za mtu ambaye mbeleni nitamnyima,Mimi napiga mizinga mlengwa wangu🤣 🤣🤣🤣na balance mizani
Wee usidanganyike wanamsema mwenzao tuu hapa wapo nyuma ya keyboard ila mtaa huko wanafanya yale yale ya mwezao.Nyie nyie nyieeeeeeeeeeee...!!! kuna wamama ushauri humu wanatoa ushauri hatari..!!
Sihitaji ndoa naeWewe unampenda jamàa
Sasa usishawishi wenzio watuachee. Ujue utaniharibia Kwa ******** wa mbezi juuUchungu gani? Mie na wazee damdam,
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo tuseme nikajitokeza mzee wa ovyo nisiye na hili wala lile kumbe nisingeelewekaMkuu huyu hajashawishika na kijana alivyo. Ni zile huduma alzopewa na ahadi y biashara mpya. Wajomba hawana pesa, huoni kuna mahala kaandika "kijana ana kazi, gari na mishe zake" maana yake anatoa taarifa kuwa huduma inapatikana
[emoji23][emoji23][emoji23] sio vizuri kwaiyo mnataka tuishie kuwa tamani tu mwishoe tujichukulie Sheria mkononiMi hata tukilingana namuonea kinyaa, usimpe tamu walau baba zake wadogo au wajomba basi,,
Nilikua unajinadi tu ulivosema una shape ila kwakuwa nimejua wewe ni wa Tukuyu sina hofu tena najua shape unalo shangaziUkoo tofauti kabisa hata majina ya mwisho dear. Yeye wa Kyera mimi wa tukuyu.
Watoto wangu hawamjui .
Ila yeye anawaona tuu.
Huu nao uchawi.Bora angekuwa mtu mzima,hako kakijana hapana
[emoji419][emoji419][emoji419]Sawa lkn unaweza kuishi bila sex?
Maana nyege.... Hazina adabu....
Ila mapenzi hayana formula,hayana ushauri...mwisho wa siku unasikiaje ndani yako ndo muhimu mpendwa