Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Pole mdada ila naoa visa vyengine havishauriki. Umetuandikia kua upo 39 ila kwa ushauri unaomba ktk jukwa hili ni sawa na binti wa miaka19 kwenda 20. Unao nafasi ya kutembea na uo kijana kwanza nadhani ni mkubwa kuluko ww.. Kila la kheri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mjane anatakiwa kwenda kwa kijana bila kufuli, akifika aiweke mezani iwe inaliwa huku anaomba msamaha kwa yote haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema mapenzi hayana umri,yawezekana akawa bora ila ndugu ungefikiria umri wake wakati unapokea misaada wanaume wengi hawasaidii bure sasa shida unaileta mwenyewe iwapo ukimtosa na katumia gharama jipange kurudisha vyake iwapo sio muungwana.kama vp liwa tu akitangaza ndo nini 😂
 
Enda ugongwe maisha yaendelee, else anasitisha huduma ambazo umeshazizoea Toka kwake
 
The Say 'Age Ain't Nothing But A Number' (Nevertheless Use Your Common Sense).
 
Mtume Muhammed alikuwa na miaka 25 na Bi Hadija alikuwa na miaka 45 lakini akamuoa na kumzalia mtoto anaitwa fatma. Wewe acha kujifanya humtaki mwamba wakati vitu vyake unapokea. Achia mwamba ale
 
Unaona 10yrs mingi wakati kuna watu wanadeti 22 kwa 48 yaani tofauti 26 hapo. Mapenzi yana nguvu zaidi ya break down.
 
Hapa kuna kitu hakiwekwi vizuri. Ilkuwaje hukujua? Je uhusiano wenu ulianzaje hadi usijue? Je ulipojua ulichukua hatua gani kukwepa haya? Je inakuwaje unamuita mumeo wakati alikuwa mume wa mtu?
Aliniambia rafiki yangu mmoja hivi ambaye mkewe wamekaribiana ofisi zao kule makumbusho.
Na siku tulienda ununio Beach nikamuona yupo na mkewe na watoto. Nilimuuliza na alikili.
 
Usijumuishe mambo. Mahusiano kudumu au kutodumu haihusiani na umri. Wapo ambao mahusiano yamedumu na wamepishana umri na wengine wako umri sawa na wanaume au ni wadogo zaidi lakini hawakufika mbali. Je mahusiano yote yanayovunjika sababu ni umri? hapana.
 
Wewe umewahi toka na kijana aliyekuzidi umri??
 
Wewe umewahi toka na kijana uliyemzidi umri kipenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…