Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

ni kijana wa miaka 28, hawezi kuwaza future yoyote na wewe amekutamani weupe na shepu lako kama ulivyojinadi.

kama na wewe umemtamani tu mkubalie mufurahie penzi kwa muda mbele huko umuache kijana wa watu atafute binti wakumuoa.

kama umependa kijana wa watu na unawaza kuishi naye kama mume, nikupe pole maana kwa asilimia zote yeye hatoweza kuishi na wewe mtu mzima hivyoo.

lakini kwa yote kwa yote mapenzi hayana ushauri wakukamilika. utajua mwenyew na hisia zako
Chukua hili.. Ongezea na maandiko ya kitabu Cha mabaharia wa 2:3-5 "Awaye na ngongingo, apelekewa moto usio kifani".
 
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

[emoji848]
 
Wajomba hawajaweza kushawishi moyo wa mmama wa watu, mwache mama afurahie maisha kdg walau, moyo wake utaingia vumbi bure! Gari bovu huvutwa na gari zima.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kweny gali bovu huvutwa na zimaaa nakupa maua yako[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]
 
Back
Top Bottom