mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hapa ndio mwisho uzi ufungweKwa ulipofikia utampa tu hakuna namna ....
I'm sorry kusema hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio mwisho uzi ufungweKwa ulipofikia utampa tu hakuna namna ....
I'm sorry kusema hivyo!
Ww unataka akae?Ok, naamini anataka kupita tuu
😂😁😆😅😄Ww unataka akae?
Ungamwimaga unnino mpe ubhunyafu mweeUkoo tofauti kabisa hata majina ya mwisho dear. Yeye wa Kyera mimi wa tukuyu.
Watoto wangu hawamjui .
Ila yeye anawaona tuu.
Unasengenya marehemu wewe😂Umri ni namba Tu, umri sio busara...ndo hivo marehemu hasemwi vibaya Ila ningekusimulia mtu flani aliyekuwa na umri mkubwa lakini matendo ya hovyo🤣🤣
Wewe ndo unamjua huyo jamaa, wanawake tumejaaliwa jicho la kuona mbali, mpime, muangalie Kwa Hilo jicho....Kama anafaa nenda kampe yote🤸🏿♀️🤣
Alijua ni ndg yake😂😂Sasa pamoja na kukufanyia yote hayo ulidhani anakusaidia Bure tu? Ina maana hukufikiri ataomba umpe penzi?