Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Umri sio akili,wewe una 39 lakini umehaidiwa kusaidiwa na mwenye 28,pima hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mimi nataka utelezi tu 🏂😝Mnunulie vitu vya saluni uchukue goma hilo 😀 😀
Lakini wewe dada...kivoko/kiboko😅We huna nyege aisee,unauliza na kuuliza? Moyo umependa peaneni bhana🤒
Huyo mumeo alifariki na nini Ugonjwa au ajali? tuanzie hapo kwanzaHabari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kido chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao. Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.
Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.
Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waohongo tuu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.
Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi. Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night. Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Ki ukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na anagari na mishe zake zingine.
Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.
Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tuu dear.
Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Karibu mwenzangu.
Inawezekana anatoa utelezi kwa kuangalia umri, bila kuangalia uwezo wa kubeba majukumuMzee mimi nataka utelezi tu 🏂😝
Maisha siyo magumu kama tuyachukuliavyo...easy yanLakini wewe dada...kivoko/kiboko😅
Siku zimekuwa nyingi mno tokea msiba wa mmeo kama haujasuguliwa na mme mwingine kubali tu uende akakusugue walau mwili urudi vizuri.Hata hivyo umeshakula vitu vyake vingi utaponyokaje?Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kido chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao. Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.
Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.
Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waohongo tuu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.
Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi. Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night. Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Ki ukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na anagari na mishe zake zingine.
Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.
Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tuu dear.
Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Karibu mwenzangu.
Yani hata busu usipeweDada unazingua bn unataka ninyimwe nawakati mi natoa pesa 😭😭
Ajikatae ampotezee,, tatizo katanguliza njaa kivulana cha nini wakati wanaume wapo!! Mi ni heri niolewe mke wa tatu ila sio kulala na kivulana aisee tuko tofautiSasa kipenzi na misaada yake basi asipokee naona hana pa kukwepea na hapo anakwambia mambo ya biashara mpya ameambiwa atasaidiwa tena
Na kingine ukisoma vizuri mwanamke mwenzetu ni kwamba na ye ameshampenda jamaa sema anaona aibu ya umri tu
Wanaacha id za zamani, hawataki wajulikaneHalafu mmama wa watu kajiunga JF leo ili apewe ushauri. Narudia mpe mzigo kijana, jasho la mtu haliliwi bure
Baba wadogo zake au wajomba zake ndo wanakufaa, ndicho nilichomaanisha mdada mzuriUkoo tofauti kabisa hata majina ya mwisho dear. Yeye wa Kyera mimi wa tukuyu.
Watoto wangu hawamjui .
Ila yeye anawaona tuu.
Wewe tu ndio upo against all comments 😅Yani hata busu usipewe
Sasa 28 yrs n kivulana?Ajikatae ampotezee,, tatizo katanguliza njaa kivulana cha nini wakati wanaume wapo!! Mi ni heri niolewe mke wa tatu ila sio kulala na kivulana aisee tuko tofauti
Siku ukimbariki unapata bintiMimi kama mimi sihitaji ndoa nishajishukuru kwa maisha yangu.
Mambo gani?Nahisi umechanganya mambo hapa.
Mi ningempotezea aiseeHawezi tena, amekula za kijana anataka kulipa fadhila