Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wajinga sana 39yrs halafu unasaidiwa Maisha na kijana wa 28yrs na huna akili ya kulipa fadhila, umewapa wangapi hio pusina na wamekupa nini, wanawake wa kinyakyusq akili ndogo sana ndiomana mnaliwa sana mbususu na kuachwa hovyo ukiwa unapokea misaada toa na hio pusina acheni ujinga, Dude lile halina umri tena huyo ndio umri wake mzuri akusigue hio pusina vizuri
 
Haha hivo mtoa mada kama ameshampenda mwamba maan hadi wanaitana dear na kuanzA kusema amefanan na Mme wake wa zaman anyway umri sio sababu tena ukiwa na umri mkubwa atakuheshimu tofauti na hao vijana wenzake Hugo jamaa ni inaonekana anataka kutulia sasa inabidi umsikilize huna jinsi kila MTU anahistoria yake ya mapenzie
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kido chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao. Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waohongo tuu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi. Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night. Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Ki ukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na anagari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tuu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.
Aisee, JF kila mtu anaweza kuanzisha uzi!!!
 
Back
Top Bottom