Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Kapeace
Wapo Wababa wanapenda kutembea na mabinti wadogo na wapo ambao hawapendi.
Lkn pia
Wapo wamama wanapenda kutembea na vijana wadogo na wapo ambao hawapendi.
Ni life style ya mtu binafsi.
 
Doooh kumbe!
Sikuelewa kitu!
Kwa hyo lengo la uzi wake ni alipizie nae akachepuke au[emoji38]
 
Kapeace
Punguza hasira mwache Crala kidoti
Akapate uroda huko
Mbona nyie nyuzi zenu za wanawake kuwacheat waumezao kwa lengo la pesa na zingiene mnawatetea .
Mwache aende huko.
 
Financier decide, kama mwanaume anakaa mwanamke anatoa hela zote ni sawa, kuna wanaume goi goi, ila Mwanaume Mtafuta hela, asione vijana wenzie warembo wenye 23 years, sio duniani, labda Mars
It is not always the case. Wapo wengi tu wametulia na wake zao wamewazidi umri na wanatoa kila hitaji la familia. Usikariri mambo. Kicheche ni kicheche kama hajatulia hata awapate 10 ambao ni umri wanaendana hawezi tulia
 
It is not always the case. Wapo wengi tu wametulia na wake zao wamewazidi umri na wanatoa kila hitaji la familia. Usikariri mambo. Kicheche ni kicheche kama hajatulia hata awapate 10 ambao ni umri wanaendana hawezi tulia

Sawa
 
wakati anakununulia vifaa vya saloon hukuona ni vibaya kula hela ya mdogo wako?
 
Mnaojifanya kusema sijui miaka kumi blah blah blahs nendeni mkamulize France president Emanuel Macron hali anayopitia.

Yule jamaa ameowa mwalimu wake wa shule ya msingi amemzidi 24yrz na anadunda nae hataki tabu na mtu.
 
Shosti mwenzangu fata moyo wako tu
 

Amuonjeshe kwanza ndio wakae chini wazungumze [emoji41]
 

Mapenzi hayana umri ajilie raha zake, mimi mwenyewe nina mpango wa kuchukua ki IST kangu kimoja nikitafune hadi mifupa [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…