Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Nikuonyeshe huyo mama , acha wivu 😅😅😅😅🥰Tena wewe una na huna hasila na hasira hujui kuzitofautisha hata kupiga mashine hujui itakuwa, siwezi jisumbua hata kuja pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuonyeshe huyo mama , acha wivu 😅😅😅😅🥰Tena wewe una na huna hasila na hasira hujui kuzitofautisha hata kupiga mashine hujui itakuwa, siwezi jisumbua hata kuja pm
Doooh kumbe!Alimaanisha kuwa
Baada ya mume wake kufaliki walikuja watoto wawili wakiume mapacha kwenye msimba wa mume wake ambao wamefanana na mume wake na wanalingana umri mmoja na mtoto wake wa kwanza.
Its means mume wake alichepuka na kwenda kuzaa nje ya ndoa alijua msibani.
Mume kashafaliki kaka.Doooh kumbe!
Sikuelewa kitu!
Kwa hyo lengo la uzi wake ni alipizie nae akachepuke au[emoji38]
Unionyeshe ili?Nikuonyeshe huyo mama , acha wivu 😅😅😅😅🥰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh watukuyu gani mweupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio tapeta hii.
Haya banaa ngoja nikae kimyaa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
It is not always the case. Wapo wengi tu wametulia na wake zao wamewazidi umri na wanatoa kila hitaji la familia. Usikariri mambo. Kicheche ni kicheche kama hajatulia hata awapate 10 ambao ni umri wanaendana hawezi tuliaFinancier decide, kama mwanaume anakaa mwanamke anatoa hela zote ni sawa, kuna wanaume goi goi, ila Mwanaume Mtafuta hela, asione vijana wenzie warembo wenye 23 years, sio duniani, labda Mars
what outweights problems on the tripple beam?So what?
It is not always the case. Wapo wengi tu wametulia na wake zao wamewazidi umri na wanatoa kila hitaji la familia. Usikariri mambo. Kicheche ni kicheche kama hajatulia hata awapate 10 ambao ni umri wanaendana hawezi tulia
Pambana na shangazi lako punguza kuniwazaKapeace
Punguza hasira mwache Crala kidoti
Akapate uroda huko
Mbona nyie nyuzi zenu za wanawake kuwacheat waumezao kwa lengo la pesa na zingiene mnawatetea .
Mwache aende huko.
Shosti mwenzangu fata moyo wako tuHabari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.
Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.
Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.
Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.
Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.
Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.
Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.
Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.
Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutaka kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.
Wanawake wenzangu naombe ushauri mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena ninaye mzidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambia atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Karibu mwenzangu.
UPDATE
Post in thread 'Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?' Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?
39 years you are too grown to be dating a 28 years younger to you.
39 is a retreat phase kwa mwanamke huo sio muda wa kuanza kukimbizana na mapenzi bali familia na ndoa.
So usiingie hapo. Just kaa nae chini umwambie exactly that kuwa sio fair wewe na yeye kuwa partners.
Amuonjeshe kwanza ndio wakae chini wazungumze [emoji41]
Kuna Mmama mmoja ana saluni kubwa ndio saluni yangu pendwa, aliolewa na Mzee mtu mzima akamtesa na kumnyanyasa licha ya kua na watoto watatu pamoja hatimae wakatengana ndio huyo mama akafungua kisaluni kidogo enzi hizo walau apate pesa ya kula na wanae, alikua anauza na vinywaji baridi kuna kijana age hiyo hiyo 20 something ana gari Suzuki akawa anakuja pale kununua soda au maji hatimae akamtongoza Mama akawa anaona noma kijana mdogo yeye shangazi, tukamwambia umri ni namba tu jali furaha yako,
Yule kijana kambadilishia saluni ikawa kubwa na vitu vya kisasa, akamchukulia frem nyingine kamuwekea vinywaji baridi, wanapendana hadi mabinti wanaona wivu maana sio kwa mahaba ndindindi yale, she is the happiest woman in the World.
Good luck Crala.
Akiii huu ushauri [emoji23][emoji23][emoji23]