Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Na anajitetea kabisa eti alivyomtongoza akajiepusha asimjibu vibaya .R
Tangia siku u
Ya kwanza alivyoona anataka kupewa msaada na kivulana basi angechagua amjibu vibaya au ajirpushe kumjibu vibaya sio mwishoni tayari kashakula vya kutosha
Huyu bwana alijua kabisa kifuatacho kitakuwa Nini,!!Binafsi sipendi kupokea misaada kwa mtu nisiye na plan naye mbeleni maana vitu vyake vitanisakama Koo baadae ,ndio maana Bora nipewe tu msaada na mpenzi wangu japo Sasa ndio wanaume wa siku hizi mnaanza kukwepa jukumu la kumsaidia mpenzi matokeo Mwamba mwingine atasolve tatizo halafu atamkalia mtu kooni.
 
Asubiri drama za kibenten ataimba nyimbo zote, na dharau juu

Hapo nakupinga uyo dogo sio kibenten anaonekana ni mwanaume maana anasimama na mwanamke wake kumsupport na kujenga future yake na watoto,

Uyo jamaa ametoboka pesa na inawezekana akatoboka zaidi, uyo mama sio bikra kusema anatafta mtu asimchezee kumuharibia ubinti wake, kama risk wote wapo kwenye risk ivi mnajua mwanaume kutoa alivyo navyo tena alivyotafta kwa jasho ilivyokazi kama hajakupenda?!! Na ndo ivo ivo mwanamke ilivyokazi kukuvulia chupi kama hajakupenda so hapo wote wapo 50/50

kama kuna wanawake watamuona uyo mama kua ni mjinga kulala ni uyo kijana bas hata uyo kijana wapo wataomwita yeye mjinga kuspend pesa yake kwa mtu aliyekiwsha tumika wakat vibinti vyenye izo sifa alizataja vipo vingi tuu mtaani vinahangaika hata ela za mitaji ya kuuza juice havina.

Chamsingi hapo ajue kumchuna uyo kijana ahakikishe the way anavyovuliwa chupi na ndivyo kijana azidi kutoboka na mali zote aziweke kwenye majina ya watoto wake wala hakutakua na shida.

Mengine ajiongeze ye nimtu mzima anashindwaje kumcontrol kijana mdogo, hakuna mwanaume mbabe kwa mama kama uyo maana skills zote anazo za kumkamata mwanaume kusema sjui atasema hata hao wazee mbona hua tukikaa kwenye vikao vyetu hua wanaongea mengi tuu tena wao wanakula mabinti na kuja kujisifia alivyovichalaza tukiwa kwenye maeneo yetu yakupunguza stress.
 
😂 😂 😂 Hajala vya watu kaka alifanya tu hisani. Dada atii kiu yake kama anahitaji pa kupunguzia miwasho ya mwili wapeane once in a while.
Weee dunia hii uliona wapi hisani kutoka kwa mwanaume atoe milioni zake a invest kwenye biashara zako? mwanaume akikupa vitu vyake we jua tu Kuna jambo litafuata..
 
na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.

alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu.

Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.

Kiukweli alinisaidia sana tena sana

nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.

Wanawake wengi si wote wanaliwa kwa sababu ya kupenda pesa, material things au status ya mwanamume

Ni suala la muda tu utajikuta ushamvulia chupi. Niko pale nimekaa
 
Unakula vitu vya mtu halafu hautaki uliwe, ukianza kupokea vitu vya mwanaume ujue kuna siku utahitajika kuliwa.
Kuna mwingine huku amekua akiniomba nampa hela, ila nilipomtongoza akaanza kusema huniona kama ndugu, yaani mimi dada zangu nawajua, sasa huyu aweje dada yangu, imebidi nimkaushie matunzo hadi aamue moja.

Hakuna na narudia tena hakuna mwanaume anaweza akamsaidia mwanamke mrembo na isije siku akataka kumla.....na kama wapo mniite mbwa niko pale.
 
Ajikatae ampotezee,, tatizo katanguliza njaa kivulana cha nini wakati wanaume wapo!! Mi ni heri niolewe mke wa tatu ila sio kulala na kivulana aisee tuko tofauti
28 years bado mvulana?. Tena anafocus nzuri na maisha. You cant be serious
 
Yani kaka ni hivi ukiwa mdogo sana kwa mwanamke kimjini unaitwa kibenten, ukiwa mdogo ama mnalingana ama hamzidiani sana na huku unahudumiwa na mwanamke kwa kila kitu wewe ni marioo, kuna bwege pia kuna buzi/danga, na kuna yule 'mwanamume' hapo utakuwa umeelewa sasa

Umenena vyema ila simshauri ampe.
Hapo nakupinga uyo dogo sio kibenten anaonekana ni mwanaume maana anasimama na mwanamke wake kumsupport na kujenga future yake na watoto,

Uyo jamaa ametoboka pesa na inawezekana akatoboka zaidi, uyo mama sio bikra kusema anatafta mtu asimchezee kumuharibia ubinti wake, kama risk wote wapo kwenye risk ivi mnajua mwanaume kutoa alivyo navyo tena alivyotafta kwa jasho ilivyokazi kama hajakupenda?!! Na ndo ivo ivo mwanamke ilivyokazi kukuvulia chupi kama hajakupenda so hapo wote wapo 50/50

kama kuna wanawake watamuona uyo mama kua ni mjinga kulala ni uyo kijana bas hata uyo kijana wapo wataomwita yeye mjinga kuspend pesa yake kwa mtu aliyekiwsha tumika wakat vibinti vyenye izo sifa alizataja vipo vingi tuu mtaani vinahangaika hata ela za mitaji ya kuuza juice havina.

Chamsingi hapo ajue kumchuna uyo kijana ahakikishe the way anavyovuliwa chupi na ndivyo kijana azidi kutoboka na mali zote aziweke kwenye majina ya watoto wake wala hakutakua na shida.

Mengine ajiongeze ye nimtu mzima anashindwaje kumcontrol kijana mdogo, hakuna mwanaume mbabe kwa mama kama uyo maana skills zote anazo za kumkamata mwanaume kusema sjui atasema hata hao wazee mbona hua tukikaa kwenye vikao vyetu hua wanaongea mengi tuu tena wao wanakula mabinti na kuja kujisifia alivyovichalaza tukiwa kwenye maeneo yetu yakupunguza stress.
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.

Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.

Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.

Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.

Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.

Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.
Ushakula vya watu afu unaomba ushauri 😀😀
 
Unakula vitu vya mtu halafu hautaki uliwe, ukianza kupokea vitu vya mwanaume ujue kuna siku utahitajika kuliwa.
Kuna mwingine huku amekua akiniomba nampa hela, ila nilipomtongoza akaanza kusema huniona kama ndugu, yaani mimi dada zangu nawajua, sasa huyu aweje dada yangu, imebidi nimkaushie matunzo hadi aamue moja.

Hakuna na narudia tena hakuna mwanaume anaweza akamsaidia mwanamke mrembo na isije siku akataka kumla.....na kama wapo mniite mbwa niko pale.
💯🤝

Huku ndio unafit sio kule
 
28 yrs mbona sio mdogo?
Kwa ninacho kijua mwanaume hawezi kumsaidia mwanamke hivi hivi tu!

Ww ukiona mwanaume anakununulia hata pipi tu shituka huo ni mtego, sasa sembuse mtu akununulie mpaka mavitu ya saloon?

Mpe kijana mzigo huo ajifaidie ushakula vyake vingi.
 
28 years bado mvulana?. Tena anafocus nzuri na maisha. You cant be serious
Kwa huyo maza ni mvulana tena kivulana kidogo kwenye hili naona wengi mmeathirika na huu utandawazi mnawaona celebrties wakiishi hivyo lkn kwenye jamii zetu hii haifai kabisaa, yupo aunt yangu kaolewa na mwanaume anaemzidi 12 yrs,,, ila mateso anayopata asalaleeeee alikuwa pisi ya kwenda, imeenea idara zote sura somalia tako beseni guu la bia rangi ya mtume ila kapururuka hatamaniki sababu ya huyo barobaro wake
 
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

[emoji848]
Vipi
 
Back
Top Bottom