Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

ila kweli.

Ujue tunatumia akili nying sana na hawatulipi mbwa hawa(in Warumi's voice, rest in peace mbea mwenzetu, mbwa alitukomesha ka kufa yule! dah!)
Akili nyingi,, bando na muda, wawe wanakuja na mirejesho hata sie itatufundisha,, aendelee kupumzika mahali pema warumi
 
39 years you are too grown to be dating a 28 years younger to you.

39 is a retreat phase kwa mwanamke huo sio muda wa kuanza kukimbizana na mapenzi bali familia na ndoa.

So usiingie hapo. Just kaa nae chini umwambie exactly that kuwa sio fair wewe na yeye kuwa partners.
 
Njoo nikutoe ngenye zako.
kijana ana swagga za zamani huyo kujifanya gentleman huku anatongoza taratibu na urafiki kibao.

kama ingekuwa mimi ungeshaliwa huku hujatarajiaa na ungeleta ushuhuda kuliwa kimasihara.

Wanawake watakatifu kama nyinyi mnahitaji bad boys tu na si magentlemen “too nice to https://jamii.app/JFUserGuide”

Karibu PM nkupe mboo safi na sina muda wa kufuatiliana
 
clara kidoti

Kwa maelezo yako tu unaonyesha ushampenda na umevutiwa na vimisaada vyake unavyovipata kwake..maamuzi yako kwako (kuamua kutembea na mtoto wa Dada ako au kuamua Kuulinda Utu wako)[emoji3192]

Nakushauri:-

Dont dare..Jithamini..Jijali..Jilinde na Jiheshimu mbali na hapo utadhalilika na kujiingiza kwenye msongo wa mawazo unaoweza kuuepuka..weka nguvu yako na mapenz yako kwa Wanao toa mawazo ya mahusiano

Mahusiano yako na mapenz yako ni Watoto wako[emoji172]

Apo impact yake ndo kunatengeneza mama mkwe anayeshinda kufwata fwata ndoa za wtoto wake kila siku maana unamfundisha kuwafanya watoto kua ni asset wakati nawahi ni binadam wanaweza pata maisha wakaoa na kuolewa wakamuacha apo mpweke.
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.

Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.

Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.

Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.

Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.

Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutaka kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushauri mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena ninaye mzidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambia atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.
Kama mmeshaanza kuitana dear kuna kurudi nyuma tena hapo,wacha tu nikae kimya niendelee kusikiliza mwisho utakuwaje...
 
39 years you are too grown to be dating a 28 years younger to you.

39 is a retreat phase kwa mwanamke huo sio muda wa kuanza kukimbizana na mapenzi bali familia na ndoa.

So usiingie hapo. Just kaa nae chini umwambie exactly that kuwa sio fair wewe na yeye kuwa partners.
Kiswahili ni lugha tamu sana ukiipenda inakupenda.
Sio kama English, ina visaaaa
 
clara kidoti

Kwa maelezo yako tu unaonyesha ushampenda na umevutiwa na vimisaada vyake unavyovipata kwake..maamuzi yako kwako (kuamua kutembea na mtoto wa Dada ako au kuamua Kuulinda Utu wako)[emoji3192]

Nakushauri:-

Dont dare..Jithamini..Jijali..Jilinde na Jiheshimu mbali na hapo utadhalilika na kujiingiza kwenye msongo wa mawazo unaoweza kuuepuka..weka nguvu yako na mapenz yako kwa Wanao toa mawazo ya mahusiano

Mahusiano yako na mapenz yako ni Watoto wako[emoji172]
Roho mbaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom