Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Akakushauri kusagana?
Raha jipe mwenyewe manake ukajisigue simi lako au waku blend wanawake wenzako mama yetu

Ushauri ndio huo tu mwanakwetu mimi nimetangulia kusema ili ubadilishwe na hata ukisemwa uwe unajua kabisa
Unawashwa sana wewe, utakuja kukunwa na gunzi la mahindi shauri zako
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.

Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.

Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.

Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.

Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.

Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutaka kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushauri mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena ninaye mzidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambia atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.

UPDATE
Post in thread 'Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?' Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?
Haya natatizo yapo kwetu tu kwa wenzetu wanapishana hata miaka 25 na hakuna tatizo nisichopenda Mimi ni watoto kumuona hapo nyumbani basi.
 
Kwa hiyo unapenda mchi, sawa Scola wamekusikia pm iwe wazi tu

Acha kusagana
Tuachie kazi hiyo wenye michi tuwape raha
Mawe kwa mawe hayawezi chokonoana kwenye matundu yao
Acha kubadili maana za vitu
 
Acha kusagana
Tuachie kazi hiyo wenye michi tuwape raha
Mawe kwa mawe hayawezi chokonoana kwenye matundu yao
Acha kubadili maana za vitu
Wewe ushasema unapenda mchi Scola subiri wenye michi waje wakuchokonoe, mambo yangu achana nayo maana hata iweje wewe sio type yangu [emoji23]

Kuna mdau kanambia weka namba weekend hii akakuliwaze mtoto mzuri [emoji1783]
 
Mi naona ulee tu wanao mambo ya kuolewa usiyawaze sana

Huyo mkaka unaeza mtumia tu kama chombo cha starehe tu m'burudike
Hili ndo jambo la msingi,mama kwa umri wa miaka 39 hutakiwi kuwa na wivu wa kimapenz bak na wivu wa maendeleo na biashara, maana yangu mkubalie kijana awe anaichachua iyo tamu yako na muendelee na shughuli zenu za kukuza uchumi
Usimuwekee presha ya mambo ya ndoa atakukubalia ataichachua then atawah kukukimbia

Mpe uhuru wa kuichachua iyo tamu usije kuangaika na madildo na umri huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaa dear,
Umewahi wewe ilikuwaje hata pm njoo dear

Story inafanana na yako tena mwenzio nilikuwa na upinzani hadi na wadada wa bongo movie wanamtaka kijana kachafuka fedha!

Mengine ambayo anayo nitaku pm hapa sichelewi kuharibu maana sijui kujibana nitapigwa ban bure [emoji1787]
 
Uliposema una shepu na ka weupe moyo umepiga paaah, na wivu ukaingia shwaaa ,nakuzidi miaka 3. Mengine tutasaidia , njoo DM, utatangazwa hiyo ni lazima na given jiandae kisaikolojia.

Ngoma ya watoto haikeshi
 
Story inafanana na yako tena mwenzio nilikuwa na upinzani hadi na wadada wa bongo movie wanamtaka kijana kachafuka fedha!

Mengine ambayo anayo nitaku pm hapa sichelewi kuharibu maana sijui kujibana nitapigwa ban bure [emoji1787]
Huko pm tuunganishe na dear wangu cocastic tuipate hiyo story jamani tucheke tuongeze siku za kuishi [emoji38]
 
Back
Top Bottom