Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #141
Duuh 😅😅Mtaani huku wenzako wanasema kikubwa kavaa shela na kupigiwa tarumbetahata kama ndoa itakufa kesho yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh 😅😅Mtaani huku wenzako wanasema kikubwa kavaa shela na kupigiwa tarumbetahata kama ndoa itakufa kesho yake.
Umemaliza, ukute na hapo kabla hajaolewa kaachika zaidi ya mara 30, kingine utafiti unaonyesha mwanamke ndo hufanya mapenzi na wanaume wengi sana kuliko mwanaume ni vile tu hayako wazi haya na hakunaga last seenAdui ya mwanamke ni mwanamke
Epuka sana ushauri wa mwanamke unmarried au aliyeachika, 30+ wengi ni feminists
Furaha yao ni kuona wanawake wengine au mabinti wanaharibikiwa
Wewe haujakutwa bikira inamaanisha ni malaya halafu unataka mwanaume eti mwenye maadili
Ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu ya wanawake.
Hakuna mwanaume duniani aliyefanikiwa kumfanya malaya kuwa mke
Wewe si ukaandike point, mbona umeng'ang'ania huku kwenye nonsense?Kwahiyo ukiandika nonsense usiulizwe?
Muungwana akipewa ushauri anajibu siuafiki ushauri wako, akiukubali atajibh naukubali ushauri wako lakini kwakuwa wewe ni.bongo lala huyaoni hayoWewe si ukaandike point, mbona umeng'ang'ania huku kwenye nonsense?
We kidagaa, hii nyuzi niliita wanawake wenzangu, we ukaja. So, tuanze na swali la msingi. We ni mwanamke? Halafu ndiyo tutaenda kwenye swala la wewe kunishauri nini cha kupost humu JF.Muungwana akipewa ushauri anajibu siuafiki ushauri wako, akiukubali atajibh naukubali ushauri wako lakini kwakuwa wewe ni.bongo lala huyaoni hayo
Zingatia ushauri wangu.We kidagaa, hii nyuzi niliita wanawake wenzangu, we ukaja. So, tuanze na swali la msingi. We ni mwanamke? Halafu ndiyo tutaenda kwenye swala la wewe kunishauri nini cha kupost humu JF.
Anza kuwauliza size kabisa, maana hatuwaelewi!Jamani huku wanaume mnacomment wakati uzi ni wa wawanawake tutawavusha Madela ohooo
Exactly ni standards nimeweka nipate kitu boraNot necessarily lower them ila cha kujiuliza ni what are your standards? Je, hizo standards ulizojiwekea ni realistic? Je ni standards zinazolenga kupata au kum'qualify best candidate for what, husband material or trophy husband?
Unalenga outcome gani na hizo standards with what time frame and wifh which or who's resources? If ni resources zako unajiona uta toboa na hizo standards?
Unaweza kusema nataka mwanaume ambaye at least anajitegemea kwa kuishi mwenyewe hata kwenye chumba cha 50,000 na ana uhakika wa kuingiza 10,000 kwa mwezi. Hiyo ni standard pia. Ambayo itakupa a lot of supply ya wanaume wa kuanza nao kwenye ndoa sababu imezingatia uhalisia wa mazingira na maisha ya kijana wa kitanzania.
Hapo hata wewe unakuwa na resources za kuweza kuendesha huo uhusiano bila shida na ukafanikiwa. Mfano akishindwa kodi unaweza mpa backup kwa kuazima hata kwa rafiki zako au akiba yako ukamsapoti.
Ila ukasema mimi nataka mwanaume atakae nipa matunzo yenye thamani ya laki 9 kila mwezi,tukaishi sehemu nzuri ambayo kodi kuanzia million 1 kwa mwezi. Awe na gari ya kuanzia million 60 kwenda juu. Atoke familia yenye uwezo,awe na pesa kwenye account. Akutoe out kila mwezi nje ya inchi. Na kila weekend mtoke out.
Je wewe una resources gani kusapoti huo mfumo,tukitoa mwili wako ambao unatumika kingono? Je siku akifeli kwa mwaka tu utaweza mpa back up ya kulipa kodi kwa at least miezi 6,utamsapoti mafuta,vipi hizo outings utaweza kufinance ili wakati anajipanga muendelee kuenjoy mapenzi, unaweza kumlipia gharama za mwanasheria wake incase am
Ni kukosa tu ufahamu wa namna mwili wa mwanadamu unafanya kazi vipi na unatakiwa kufanya nini.
Mood swings sio sababu ya ku misbehave na kumkosea adabu mwanaume wako hayo ni matumizi mabaya ya fursa.
Wanaume pia wanamood swigs wakiamua kujiachia hakuna ndoa itakalika.
Kuongea pia ni sehemu tu ya poor home training. Hakuna sehemu walishaelekeza kuwa mwanamke kuropoka bila stara ni sawa.
Mwa
Kwa namna ganiUnafeli sasa .
Mungu niepushe na WA dada wa tabia kama za Jamii forum🙏🙏MUNGU niepushe na wakaka wenye tabia kama za wajamii forum🙏
,😂😂
Utapata kaka AminaMungu niepushe na WA dada wa tabia kama za Jamii forum🙏🙏
vinavaa malapa na soksi!!Kitu sitakuja kujaribu kuwa na mahusiano na vimarioo, sivipendi jamani vijitu vipo km manunu..!! 😹
Wanawake na wasichana ,ila hasa wasichana mmezidi umalaya, mnapenda sana vya kupewaLadies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni perspective ya upande wa wanaume, ila kwetu kama wanawake, hakuna kosa kubwa utakalojutia kama kukimbilia ndoa na kuolewa na mtu ambaye si sahihi. Chukua muda kumfahamu mwenza wako na jitahidi kuolewa na mtu mnayeendana kimaadili, kiutashi na mwenye mapenzi ya kweli ili mkipata watoto wasiteseke. Kisaikolojia,
Wakiona hela unafikiri watakusikiliza basi. kabla ya kuwashushia somo ungewasisitiza kwanza waache tamaa ya kutaka kuishi standard ya maisha ambayo hawawezi kuimudu.Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni perspective ya upande wa wanaume, ila kwetu kama wanawake, hakuna kosa kubwa utakalojutia kama kukimbilia ndoa na kuolewa na mtu ambaye si sahihi. Chukua muda kumfahamu mwenza wako na jitahidi kuolewa na mtu mnayeendana kimaadili, kiutashi na mwenye mapenzi ya kweli ili mkipata watoto wasiteseke. Kisaikolojia, inaathiri sana watoto kukua kwenye dysfunctional homes, nyumba ambazo wazazi hawana maelewano, upendo wala wababa hawashiriki kwenye malezi ya watoto wao. Kuna tafiti za kutosha kwenye hili na wengine waliotoka kwenye hizo nyumba za magomvi tunawaona humu kwenye mitandao wanavyobehave.
Usiogope kumuacha mwanaume kwa hofu ya kutopata mwingine, kama unaona dalili na tabia zisizofaa kabla ya ndoa, jua zitaongezeka mara 10 baada ya kuoana. Tunasikia visa kila siku vya wanawake wenzetu wanavyoteseka, ila tumenormalize sana madhila ya mahusiano mpaka yamekua mambo ya kawaida tu. Baadhi yetu tukiambiwa tutaje wanawake watano kutoka kwenye familia zetu au tunaowafahamu kwa ukaribu wenye furaha kwenye ndoa zao, tunaweza tusiweze.
Maisha yamebadilika, fanya uamuzi ambao ni bora kwako na uzao wako na si kwa sababu utaonekanaje kwenye jamii kama hujaolewa.
Ni hayo tu, nawasilisha!
CC:
Bantu Lady jannelle realMamy Joannah leo dada Qashy Lilith Lamomy
PS:
Yes, nimeishi kwenye ndoa na nina watoto. No, sitajibu maswali zaidi kuhusu maisha yangu binafsi.
📌Chukua nyuzi kama unaona inakufaa kama haikufai, achana nayo 📌.
Kumbe mnajijua nature yenu ni usumbufuKilamtu anapitia kadri Mungu alivomkadiria mtoammada upo sahihi wengi wanajutia ndoa kuliko wanaofurahia
But Kuishi na mwanamke pia ni kazi sana Jamani
Kuna mood swings😀
Kuna nature ya kuongea ongea 😀
Kuna kutumia hisia kuliko akili 😀 nature yetu ni usumbufu ukiona mwanaume kaweza kumfanya mkewe akawa mwanamke wa kueleweka Mpe heshima yake 🤣🤣
Sasa kama mnataka muwe mnagegedwa alafu mkiona hana tabia nzuri aende kwa mwingine tena, kilometers za nyapi si zitasoma sana?Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni perspective ya upande wa wanaume, ila kwetu kama wanawake, hakuna kosa kubwa utakalojutia kama kukimbilia ndoa na kuolewa na mtu ambaye si sahihi. Chukua muda kumfahamu mwenza wako na jitahidi kuolewa na mtu mnayeendana kimaadili, kiutashi na mwenye mapenzi ya kweli ili mkipata watoto wasiteseke. Kisaikolojia, inaathiri sana watoto kukua kwenye dysfunctional homes, nyumba ambazo wazazi hawana maelewano, upendo wala wababa hawashiriki kwenye malezi ya watoto wao. Kuna tafiti za kutosha kwenye hili na wengine waliotoka kwenye hizo nyumba za magomvi tunawaona humu kwenye mitandao wanavyobehave.
Usiogope kumuacha mwanaume kwa hofu ya kutopata mwingine, kama unaona dalili na tabia zisizofaa kabla ya ndoa, jua zitaongezeka mara 10 baada ya kuoana. Tunasikia visa kila siku vya wanawake wenzetu wanavyoteseka, ila tumenormalize sana madhila ya mahusiano mpaka yamekua mambo ya kawaida tu. Baadhi yetu tukiambiwa tutaje wanawake watano kutoka kwenye familia zetu au tunaowafahamu kwa ukaribu wenye furaha kwenye ndoa zao, tunaweza tusiweze.
Maisha yamebadilika, fanya uamuzi ambao ni bora kwako na uzao wako na si kwa sababu utaonekanaje kwenye jamii kama hujaolewa.
Ni hayo tu, nawasilisha!
CC:
Bantu Lady jannelle realMamy Joannah leo dada Qashy Lilith Lamomy
PS:
Yes, nimeishi kwenye ndoa na nina watoto. No, sitajibu maswali zaidi kuhusu maisha yangu binafsi.
📌Chukua nyuzi kama unaona inakufaa kama haikufai, achana nayo 📌.
Unaona kweli wanawake hawapendani yy kaolewa na watoto mwaka wa 7 kwenye ndoa above 30 wenzie anasema watulie kwanza mweeeLadies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni perspective ya upande wa wanaume, ila kwetu kama wanawake, hakuna kosa kubwa utakalojutia kama kukimbilia ndoa na kuolewa na mtu ambaye si sahihi. Chukua muda kumfahamu mwenza wako na jitahidi kuolewa na mtu mnayeendana kimaadili, kiutashi na mwenye mapenzi ya kweli ili mkipata watoto wasiteseke. Kisaikolojia, inaathiri sana watoto kukua kwenye dysfunctional homes, nyumba ambazo wazazi hawana maelewano, upendo wala wababa hawashiriki kwenye malezi ya watoto wao. Kuna tafiti za kutosha kwenye hili na wengine waliotoka kwenye hizo nyumba za magomvi tunawaona humu kwenye mitandao wanavyobehave.
Usiogope kumuacha mwanaume kwa hofu ya kutopata mwingine, kama unaona dalili na tabia zisizofaa kabla ya ndoa, jua zitaongezeka mara 10 baada ya kuoana. Tunasikia visa kila siku vya wanawake wenzetu wanavyoteseka, ila tumenormalize sana madhila ya mahusiano mpaka yamekua mambo ya kawaida tu. Baadhi yetu tukiambiwa tutaje wanawake watano kutoka kwenye familia zetu au tunaowafahamu kwa ukaribu wenye furaha kwenye ndoa zao, tunaweza tusiweze.
Maisha yamebadilika, fanya uamuzi ambao ni bora kwako na uzao wako na si kwa sababu utaonekanaje kwenye jamii kama hujaolewa.
Ni hayo tu, nawasilisha!
CC:
Bantu Lady jannelle realMamy Joannah leo dada Qashy Lilith Lamomy
PS:
Yes, nimeishi kwenye ndoa na nina watoto. No, sitajibu maswali zaidi kuhusu maisha yangu binafsi.
📌Chukua nyuzi kama unaona inakufaa kama haikufai, achana nayo 📌.
Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.