Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Amiin amiin amiinMUNGU niepushe na wakaka wenye tabia kama za wajamii forum🙏
,😂😂
😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amiin amiin amiinMUNGU niepushe na wakaka wenye tabia kama za wajamii forum🙏
,😂😂
Kabisa dear watu wanalia kilasikuTheresa49 umemaliza yote, umeongea maneno kila mwanamke ayashike yamkae kichwani. Huwa watu husema atabadilika tukioana, jidanganye ni zaidi yake inakuwa. Hapo hana cha kupoteza tena, hii mada imekuja wakati muafaka.
Jana kilitokea kitu, nikasema Mungu ahsante ulijua kuniepusha na huyu jini ningekuwa nalia kila siku. Wadada kingine, ukiona mtu kafanya jambo na roho yako, haimtaki tena, ondoka utakuja kumshukuru Mungu, using'ang'anie mtu.
Tulia, Sali/Swali, tafuta pesa yako, enjoy life, Mungu atakuletea wako, hata kama una miaka 60 ndiyo furaha yako itaanzia hapo itakuwa tu.
Ujengewe sanamu. You're so mature👍Kilamtu anapitia kadri Mungu alivomkadiria mtoammada upo sahihi wengi wanajutia ndoa kuliko wanaofurahia
But Kuishi na mwanamke pia ni kazi sana Jamani
Kuna mood swings😀
Kuna nature ya kuongea ongea 😀
Kuna kutumia hisia kuliko akili 😀 nature yetu ni usumbufu ukiona mwanaume kaweza kumfanya mkewe akawa mwanamke wa kueleweka Mpe heshima yake 🤣🤣
Sijasoma yote nimeishia mstari wa pili tuLadies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni perspective ya upande wa wanaume, ila kwetu kama wanawake, hakuna kosa kubwa utakalojutia kama kukimbilia ndoa na kuolewa na mtu ambaye si sahihi. Chukua muda kumfahamu mwenza wako na jitahidi kuolewa na mtu mnayeendana kimaadili, kiutashi na mwenye mapenzi ya kweli ili mkipata watoto wasiteseke. Kisaikolojia, inaathiri sana watoto kukua kwenye dysfunctional homes, nyumba ambazo wazazi hawana maelewano, upendo wala wababa hawashiriki kwenye malezi ya watoto wao. Kuna tafiti za kutosha kwenye hili na wengine waliotoka kwenye hizo nyumba za magomvi tunawaona humu kwenye mitandao wanavyobehave.
Usiogope kumuacha mwanaume kwa hofu ya kutopata mwingine, kama unaona dalili na tabia zisizofaa kabla ya ndoa, jua zitaongezeka mara 10 baada ya kuoana. Tunasikia visa kila siku vya wanawake wenzetu wanavyoteseka, ila tumenormalize sana madhila ya mahusiano mpaka yamekua mambo ya kawaida tu. Baadhi yetu tukiambiwa tutaje wanawake watano kutoka kwenye familia zetu au tunaowafahamu kwa ukaribu wenye furaha kwenye ndoa zao, tunaweza tusiweze.
Maisha yamebadilika, fanya uamuzi ambao ni bora kwako na uzao wako na si kwa sababu utaonekanaje kwenye jamii kama hujaolewa.
Ni hayo tu, nawasilisha!
CC:
Bantu Lady jannelle realMamy Joannah leo dada Qashy Lilith Lamomy
PS:
Yes, nimeishi kwenye ndoa na nina watoto. No, sitajibu maswali zaidi kuhusu maisha yangu binafsi.
📌Chukua nyuzi kama unaona inakufaa kama haikufai, achana nayo 📌.
Pole single Maza uliyekosa wa kukuoa kisa Tabia mbaaaayaLadies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.

Alhamdulillah ninaelewaUjengewe sanamu. You're so mature👍
Mahusiano hustawi kunapo kuwa na effective communication, inabidi partner wako awe best friend kwanza. All in all ni pale mnapojifunza kutunziana madhaifu.Alhamdulillah ninaelewa
Bahat nzuri napenda feedback nilikuwa namsema sana x boyfriend Kwa tabiazake kias Kwamba nikawa naona ana madhaifu mengi sana simuwez Ilikuwa kweli lkn siku niliamua aniambie ukweli namna nilivo nilistaajabu mwenyew jinsi NAmi nilivo mdhaifu na Nina madhaifu na makosa mengi aliamua kukaa kimya hakunambia
Exactly 💯Mahusiano hustawi kunapo kuwa na effective communication, inabidi partner wako awe best friend kwanza. All in all ni pale mnapojifunza kutunziana madhaifu.
Vimario havitaki ndoa, vinataka vilelewe na ndiyo maana naona havitawafaa.mbona huwashauri wakamate vimarioo?😀
au unataka uvibemende vyote peke yako?
sema uwaambie wapunguze vigezo, ili na sisi maskini tuoe
ila pressure lazima iwepo kidogo aisee, haswa kwa wale wanaotaka watoto
mada za namna hii huwa ni ngumu sana
Kabisa, umenena vyema sana maana si kwa mapovu haya.Watu wanaoweka presha Kwa wanawake humu ni wale ambao maisha yao ya mapenzi ni vuruguvagara ndoa zao zipo kichwa chini miguu juu either wanamkosi kwenye mapenz Kila wanapogusa wanakula vya kichwa Sasa wanaona sehem yakuja kujifariji ni humu JF Ili wapooze mioyo Yao wanaanza kutoa habar negative kuhusu wanawake yaan mtu unaona kabisa huyu Kuna kichwa Cha chuma kimemkuta ndo maana anakuja kutoa povu
Kamwe Sito pelekeshwa na maneno ya humu ndan yaan hata wakitumia viongozi wa dini au vtabu vya din maneno yaoo sio sumu hayaui mtu
Na wewe ni mwanamke kumbe? sikujua 😳😳😳😳 nilidhani ni "ME"Miaka 30 jifariji Sasa nyangumi wewe🥶
Dah huyo jini hajielewi hivi anajua options ulizonazo lakn?? Pole sana Madam.Theresa49 umemaliza yote, umeongea maneno kila mwanamke ayashike yamkae kichwani. Huwa watu husema atabadilika tukioana, jidanganye ni zaidi yake inakuwa. Hapo hana cha kupoteza tena, hii mada imekuja wakati muafaka.
Jana kilitokea kitu, nikasema Mungu ahsante ulijua kuniepusha na huyu jini ningekuwa nalia kila siku. Wadada kingine, ukiona mtu kafanya jambo na roho yako, haimtaki tena, ondoka utakuja kumshukuru Mungu, using'ang'anie mtu.
Tulia, Sali/Swali, tafuta pesa yako, enjoy life, Mungu atakuletea wako, hata kama una miaka 60 ndiyo furaha yako itaanzia hapo itakuwa tu.
Umeona ni kikao cha wanawake, umejikaribisha na kuwa mchangia mada mkuu - reply zaidi ya 10, umepita wanawake wote kwenye hii nyuzi kwa kutoa mapovu na kuchamba.Najua kikao ni cha wanawake ila kama mfanya usafi wakati nafuta vioo nimeshindwa kujizuia itabidi niseme jambo.
Haya mambo ya changamoto za kisasa za kimahusiano yanasababishwa na vitu vingi sana lakini haiondoi ukweli kuwa nguvu ya mahusiano kudumu ni matokeo ya jitihada za watu wawili tu waliopo katika uhusiano huo.
Kama unataka usiwe topic au kituko cha mahusiano katika umri huo jitafakari sana uliishi vipi kipindi chako cha miaka 16 hadi 26.
Huu ndio umri utakao amua hatima yako ya kimahusiano huko miaka 30 kwenda uzeeni.
Kama ulidanga huo umri then jiandae na matokeo after 30 kwasababu kila unachofanya katika umri huo kinakuja kukuletea malipo yake hata kama ilikuwa ni kwa usiri. Unaweza kuwa ulikuwa unapiga matukio yako kwa kificho sana. Ila siku isiyokuwa na jina kuna yule mshenzi mwenzako atakutafuta na ndipo siri zitajulikana.
Hizi story za usivumilie "this n that" au "usiogope kuachana" ni katika kujitetea tu ila kiuhalisia hapo umeshaanza kulipia hesabu yako.
Maisha baada ya 26 kuelekea 30+ ni maisha ambayo wanawake huwa mnataka kurekebisha makosa na uzembe wenu mliotenda at 16 to 26 prime age. Hautafanikiwa. Shetani akishakupaka shombo lake hakuna sehemu utatoboa kimahusiano. Hapo subiria tu kama MUNGU atakupa neema yake aje kijana mwenye huruma akupe hifadhi ila shida viburi na ujuaji wenu ndivyo vinawakosesha hata hiyo neema ya MUNGU mkishafika huo umri.
Hiki kizazi watoto wa kike sijui nani aliwapa huu mfumo wa maisha mnayoishi. MUNGU awatetee.

Bantu, umesema yote, uliyepangiwa na Mungu atakuja tu kwa wakati sahihi hakuna haja ya kung'ang'ania.Theresa49 umemaliza yote, umeongea maneno kila mwanamke ayashike yamkae kichwani. Huwa watu husema atabadilika tukioana, jidanganye ni zaidi yake inakuwa. Hapo hana cha kupoteza tena, hii mada imekuja wakati muafaka.
Jana kilitokea kitu, nikasema Mungu ahsante ulijua kuniepusha na huyu jini ningekuwa nalia kila siku. Wadada kingine, ukiona mtu kafanya jambo na roho yako, haimtaki tena, ondoka utakuja kumshukuru Mungu, using'ang'anie mtu.
Tulia, Sali/Swali, tafuta pesa yako, enjoy life, Mungu atakuletea wako, hata kama una miaka 60 ndiyo furaha yako itaanzia hapo itakuwa tu.
Umeamua kunitusi lakini mimi nakusamehe🤞Na wewe ni mwanamke kumbe? sikujua 😳😳😳😳 nilidhani ni "ME"
Haya, naona umetoa ya moyoni, unajisikiaje kwa sasa?
Sijakutusi, nimekuuliza kwa lugha ya staha kabisa.Umeamua kunitusi lakini mimi nakusamehe🤞