Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
I'll never lower my standards for a manAisee, Kuna wanaune humu JF ni kuomba tu kutokutana nao ever in real life.
Nasoma mambo anayoandika huyu bwana in disbelief 🙄
I swear!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'll never lower my standards for a manAisee, Kuna wanaune humu JF ni kuomba tu kutokutana nao ever in real life.
Nasoma mambo anayoandika huyu bwana in disbelief 🙄
Ameeen kubwaMUNGU niepushe na wakaka wenye tabia kama za wajamii forum🙏
,😂😂
Hapana, nyie kuna mahali mlichimbwa aisee!Hao unaowaona huko mitaani ndiyo hao hao wapo humu,
Haina impact yyteUna uhakika na hiki ulichosema au unataka kujifunza kuwa smart?🤔
Kilamtu anapitia kadri Mungu alivomkadiria mtoammada upo sahihi wengi wanajutia ndoa kuliko wanaofurahia
Kuna mood swings😀
But Kuishi na mwanamke pia ni kazi sana Jamani
Kuna mood swings😀
Kuna nature ya kuongea ongea 😀
Kuna kutumia hisia kuliko akili 😀 nature yetu ni usumbufu ukiona mwanaume kaweza kumfanya mkewe akawa mwanamke wa kueleweka Mpe heshima yake 🤣🤣
😀😀😀😀😀😀 Yaan kumbe Kuna watu mnawaza et wasio kwenye mahusiano Wana wivu na walio kwenye mahusiano looh kaka angu unahitaj utembee na kuzungumza na watu hapo utaelewa watu wanataka nin na kufikirika nin kwenye hayo mahusianoUtakuwa mwanamke wa kwanza kutokuwa na wivu na wanawake wenzako ambao wapo katika mahusiano wakati wewe upo bila mahusiano.
Labda kama una ajenda nyingine.
Yaan hapo namueleza kuwa kabla Hajawa mwanamke shetani ni alikua mke wa Adam,ila alikosea alipotaka kumtawala adam,by then Mungu aliwaumba Lilith na Adam wakiwa na nguvu sawa.Mzee amesema ni demonic woman so still unaongea alichokijibu.😂😂😂
Not necessarily lower them ila cha kujiuliza ni what are your standards? Je, hizo standards ulizojiwekea ni realistic? Je ni standards zinazolenga kupata au kum'qualify best candidate for what, husband material or trophy husband?You meAn I should lower my standards so I can get to.my future?
Hakuna jipya chini ya jua. Unachofanya ni marudio ya tabia zile zile ambazo huwa na matokeo yale yale. Ndio maana waswahili husema kua uyaone.😀😀😀😀😀😀 Yaan kumbe Kuna watu mnawaza et wasio kwenye mahusiano Wana wivu na walio kwenye mahusiano looh kaka angu unahitaj utembee na kuzungumza na watu hapo utaelewa watu wanataka nin na kufikirika nin kwenye hayo mahusiano
Anajua unadhani hajui? Mtu atajiita "Nick Minaj" bila kuzijua tabia zake?Yaan hapo namueleza kuwa kabla Hajawa mwanamke shetani ni alikua mke wa Adam,ila alikosea alipotaka kumtawala adam,by then Mungu aliwaumba Lilith na Adam wakiwa na nguvu sawa.
Ilipofika muda Lilith alianza fujo kwa kutaka kumtawala Adam Mungu akatoa onyo kwa Lilith ,Lilith akaona akimbie bustanini akaenda mapangoni.
Mungu akamlaani lilith akaungana na shetani,
Sasa amekuja kuharibu hiki kizazi cha baadhi hawa wanawake wajinga nao wanajiona wako salama but wanapotoka.
Hawasomi maandiko wanakimbilia Tuktok.
Nakuona rafikiAmeeen kubwa
Naam naamNakuona rafiki
Maneno yenye busaraNot necessarily lower them ila cha kujiuliza ni what are you standards na je hizo standards ulizoweka ni realistic? Je ni standards zinazolenga kupata au kum'qualify best candidate for what, husband material or trophy husband?
Unalenga outcome gani na hizo standards with what time frame and wifh which or who's resources? If ni resources zako unajiona uta toboa na hizo standards?
Unaweza kusema nataka mwanaume ambaye at least anajitegemea kwa kuishi mwenyewe hata kwenye chumba cha 50,000 na ana uhakika wa kuingiza 10,000 kwa mwezi. Hiyo ni standard pia. Ambayo itakupa a lot of supply ya wanaume wa kuanza nao kwenye ndoa sababu imezingatia uhalisia wa mazingira na maisha ya kijana wa kitanzania.
Hapo hata wewe unakuwa na resources za kuweza kuendesha huo uhusiano bila shida na ukafanikiwa. Mfano akishindwa kodi unaweza mpa backup kwa kuazima hata kwa rafiki zako au akiba yako ukamsapoti.
Ila ukasema mimi nataka mwanaume atakae nipa matunzo yenye thamani ya laki 9 kila mwezi,tukaishi sehemu nzuri ambayo kodi kuanzia million 1 kwa mwezi. Awe na gari ya kuanzia million 60 kwenda juu. Atoke familia yenye uwezo,awe na pesa kwenye account. Akutoe out kila mwezi nje ya inchi. Na kila weekend mtoke out.
Je wewe una resources gani kusapoti huo mfumo,tukitoa mwili wako ambao unatumika kingono? Je siku akifeli kwa mwaka tu utaweza mpa back up ya kulipa kodi kwa at least miezi 6,utamsapoti mafuta,vipi hizo outings utaweza kufinance ili wakati anajipanga muendelee kuenjoy mapenzi, unaweza kumlipia gharama za mwanasheria wake incase amepata majanga kwenye deals zake na account zake zimekuwa frozen na mamlaka za serikali na hana mtu wa kumpa sapoti nje sababu marafiki na washiriki wamekimbia?
Nadhani unaanza kuelewa kitu kuhusu neno standards.
My point exactly. "My standards" not "life standards". Maisha yana standards tayari yalizokuposition hata ufanyaje hautaweza kuzibadili. Wewe unapanga ila maisha yanachagua pa kukuweka kulingana na tabia na mwenendo wako ambao ndio mwisho wa siku unakuweka standard fulani.I'll never lower my standards for a man
I swear!!!!
Nimeuliza una uhakika ?🤔Haina impact yyte
miaka 60 sio kwamba uzee utakuwa umeshakolea sana?hata kama una miaka 60 ndiyo furaha yako itaanzia hapo itakuwa tu.
Ni kweli sisi ni wasumbufu sana 😀Bora wewe Una AKILI
Wanawake kama wewe ndio zile zawadi zinazotoka kwa Mungu (Mke mwema).
Ni Mmoja kwa elfu Moja
Asilimia miaNimeuliza una uhakika ?🤔
Moodswings haziepukiki Yani wengi tukifika period ni kashesheVingi ulivyolist hapa ni tabia za kujiendekeza na zinaweza kuratibika kwa mtu ambaye ameshafikia level ya maturity na utu uzima kitabia.
Huwezi kuwa serious na mahusiano kama unahisi tabia zako za hovyo zinaweza vumiliwa ila wewe usivumilie za wengine.
Version ya kiume ya tabia ulizolist hapa ni mwanaume kuwa mlevi, kuzaa nje ya mahusiano,kulala nje,kutojali mahitaji ya familia, matumizi ya hovyo ya pesa zake, na kutoheshimu mke. Je ni sahihi wanaume kusema na wao ndivyo walivyo au kujirekebisha ndio sahihi?