Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

mbona huwashauri wakamate vimarioo?😀

au unataka uvibemende vyote peke yako?

sema uwaambie wapunguze vigezo, ili na sisi maskini tuoe

ila pressure lazima iwepo kidogo aisee, haswa kwa wale wanaotaka watoto

mada za namna hii huwa ni ngumu sana
 
Kilamtu anapitia kadri Mungu alivomkadiria mtoammada upo sahihi wengi wanajutia ndoa kuliko wanaofurahia

But Kuishi na mwanamke pia ni kazi sana Jamani
Kuna mood swings😀
Kuna nature ya kuongea ongea 😀
Kuna kutumia hisia kuliko akili 😀 nature yetu ni usumbufu ukiona mwanaume kaweza kumfanya mkewe akawa mwanamke wa kueleweka Mpe heshima yake 🤣🤣
 
Watu wanaoweka presha Kwa wanawake humu ni wale ambao maisha yao ya mapenzi ni vuruguvagara ndoa zao zipo kichwa chini miguu juu either wanamkosi kwenye mapenz Kila wanapogusa wanakula vya kichwa Sasa wanaona sehem yakuja kujifariji ni humu JF Ili wapooze mioyo Yao wanaanza kutoa habar negative kuhusu wanawake yaan mtu unaona kabisa huyu Kuna kichwa Cha chuma kimemkuta ndo maana anakuja kutoa povu
Kamwe Sito pelekeshwa na maneno ya humu ndan yaan hata wakitumia viongozi wa dini au vtabu vya din maneno yaoo sio sumu hayaui mtu
 
Tatizo mke mtarajiwa una kamdomooo sidhani kama tutafika mbali kwa style hii au na wee feminist?? Nadhani sifa zao umeziona kule 😂😂
 
Watu wanaoweka presha Kwa wanawake humu ni wale ambao maisha yao ya mapenzi ni vuruguvagara ndoa zao zipo kichwa chini miguu juu either wanamkosi kwenye mapenz Kila wanapogusa wanakula vya kichwa Sasa wanaona sehem yakuja kujifariji ni humu JF Ili wapooze mioyo Yao wanaanza kutoa habar negative kuhusu wanawake yaan mtu unaona kabisa huyu Kuna kichwa Cha chuma kimemkuta ndo maana anakuja kutoa povu
Kamwe Sito pelekeshwa na maneno ya humu ndan yaan hata wakitumia viongozi wa dini au vtabu vya din maneno yaoo sio sumu hayaui mtu
Wewe umekua na ukalelewa nyumbani,Achana na hizi story za town
 
Back
Top Bottom