Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

Kilamtu anapitia kadri Mungu alivomkadiria mtoammada upo sahihi wengi wanajutia ndoa kuliko wanaofurahia
Kuna mood swings😀

But Kuishi na mwanamke pia ni kazi sana Jamani
Kuna mood swings😀
Kuna nature ya kuongea ongea 😀
Kuna kutumia hisia kuliko akili 😀 nature yetu ni usumbufu ukiona mwanaume kaweza kumfanya mkewe akawa mwanamke wa kueleweka Mpe heshima yake 🤣🤣
Vingi ulivyolist hapa ni tabia za kujiendekeza na zinaweza kuratibika kwa mtu ambaye ameshafikia level ya maturity na utu uzima kitabia.

Huwezi kuwa serious na mahusiano kama unahisi tabia zako za hovyo zinaweza vumiliwa ila wewe usivumilie za wengine.

Version ya kiume ya tabia ulizolist hapa ni mwanaume kuwa mlevi, kuzaa nje ya mahusiano,kulala nje,kutojali mahitaji ya familia, matumizi ya hovyo ya pesa zake, na kutoheshimu mke. Je ni sahihi wanaume kusema na wao ndivyo walivyo au kujirekebisha ndio sahihi?
 
Single women hawapendi kuona wanawake wengine wanakuwa na mahusiano sababu wanajua kuwa hiyo hali inaweza waua kwa upweke ndio maana wanapambana kutwa kucha kuharibu mitazamo ya wanawake wenzao na kutoa ushauri wa kupotosha wanawake.
Huyo single mama yupi huyo?? Huo ni wivu wake yaan nione wivu ow mtu na mahusiano yake sijui anayopitia huko bado nimuonee wivu

Nonsense ....
 
Sina hofu sababu sababu I know my worth and i have set firm boundaries ata akija wa ovyo nafasi hawezi ata kupata chembe
Haya sawa. Uwe unazingatia kalenda na saa visikuache kwenye mataa. Maana mimi kama mweka hazina wa department ya psychology napenda kukwambia kuwa too much standards in you life can create a tall Wall that blocks you from seeing and getting to your future. Be careful.
 
Haya sawa. Uwe unazingatia kalenda na saa visikuache kwenye mataa. Maana mimi kama mweka hazina wa department ya psychology napenda kukwambia kuwa too much standards in you life can create a tall Wall that blocks you from seeing and getting to your future. Be careful.
You meAn I should lower my standards so I can get to.my future?
 
Back
Top Bottom