Ushaanza kulewa? πWewe si ndio yule dada wa brands,[emoji23][emoji23]
Acha kunisagia basiπ€£π€£Akikutumia naoga chiu gerezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyambaff. Wewe una sauti nzuri?Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona.
Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza, yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.
Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.
Hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au TV.
π€£π€£π€£Acha kunisagia basiπ€£π€£
Unataka kumrushia kichaa mawe!Maweeee
Hahaha, lakini upo sahihi sana, tuko uchumi wa BULUU, hakuna mapene ya dezoπ€£π€£π€£
Namshtua shoga angu asijichoshe kuumiza macho kwenye simu kuangalia muamala hewa
Vizee vya hovyo π€£π€£π€£Hahaha, lakini upo sahihi sana, tuko uchumi wa BULUU, hakuna mapene ya dezo
Vinazeeka katika ubora wao...π€£π€£Vizee vya hovyo π€£π€£π€£
Duh wana mna majibuSauti ya nini mkuu,kwani unatia kooni??
Me nitasogea pale feri nipuuu mafungufungu πππAkikutumia naoga chiu gerezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba una gubu wewe πππUkiila nawe ujiandae...π€£
Kwani vipo vya bure kwa ubepari huu mkuu?π€£Baba una gubu wewe πππ
Naogopa tu kuitwa masuria nikose hulisi π π πKwani vipo vya bure kwa ubepari huu mkuu?π€£
Vinazeeka katika ubora wao...[emoji1787][emoji1787]
Me nitasogea pale feri nipuuu mafungufungu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna free P ila malipo yasiwe ya kukomoana as If upande mmoja ndio unafaidi sanaπ€£π€£Mpk vibabu navyo vinataka kupiga free P [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£π€£Naogopa tu kuitwa masuria nikose hulisi π π π
Hakuna free P ila malipo yasiwe ya kukomoana as If upande mmoja ndio unafaidi sana[emoji1787][emoji1787]
Shoga yako ameshaelewa, mjini hakuna kusumbuana mbona...π€£π€£π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo shoga angu awe makini, hivi vizee vilivyogoma kuzeeka ni tatizo
Shoga yako ameshaelewa, mjini hakuna kusumbuana mbona...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]