Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

Acha wivu, wanawake wote siku hizi wamekuwa kitonga sana mpaka tunaogopa kuoa.
 
Hizo nadharia za weupe vs weusi/wanene vs wembamba zimewekwa na sisi wanaume ili tuwagawanye na tuweze kuwapata kirahisi.

Hazina uhalisia.

Makampuni ya vipodozi vya kujichubua na kujing'arisha yanamilikiwa na nani? Wanaume.
Kumsaidia mwanamke wa kiafrica kujitambua ni process itakayoweza kuchukua miaka 200+

Colorism is a new racism unfortunately…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…