Wanawake weusi chukueni miaka 5 tena,mna mwonekano mzuri na wakizalendo, hamjajichubua

Kama ilivyo tamu nyama ya kuku wa kienyeji ndivyo walivyo watamu wanawake natural
 
.
 
Anaitwa nani huyu nikamcheki mtandaoni nimsalimu
 
Ke weusi mna nafasi yenu kwenye kiti cha enzi muwe na siku njema, nyie wengine liwakute lolote.
 
Wape neno kaka ... kwa wale wasojikoboa wasije kuingia huko tena.

Kabisa, mtu anajichubua ukiangalia ngozi ya mikono na miguu inakua mieusi flani ya kidudu hadi kinyaa, na yale maharufu ya madawa wanayotumia ni balaa
 
Uzi bila picha ni porojo japo naungana na wewe mtoa mada mpaka umauti utakaponitoka, hakuna Mali safi kama blacks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…