CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
- Thread starter
- #21
mtoto halelewi na pesa analelewa na MAMA YAKEHuko sio kulea acha kupotosha, pesa hailei mtoto.... wewe utakuwa ni mwanamke maskini sana unayehisi kupata unafuu kupitia mtoto akitumiwa pesa.
wewe unavyomchukua akija nyumbani kwako una uwezo wa kumlea?
au ndio unataka kila ukirudi tu umuone mwanao mbele yako?
Tofautisha "kulea" na "Kukaa na mtoto"
wewe unatetea kukaa na mtoto na wala huna point katika swala la malezi (kulea) ingekua unajua umuhimu wa
KULEA usingebisha mtoto kutunzwa na mama yake aliemzaaaa.