Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Naona umewashtua na siku hizi wahuni washawajua wanapenda hela,wanatengewa bajeti muhuni anajua kabisa ndani ya wiki kadhaa/mwezi akipiga show zake mbili tatu anaamsha.
 
Ni hivyo kaka maana naona mleta mada kasahau kuna kukosa ambapo ndiyo asilimia nyingi kiasi kuwa uwa tunakimbia kujificha ex asikuone tena ndiyo ukute kaolewa na limwamba lina hela ,limejaza mwili na kitambi uwa ni mwendo wa kutimua vumbi tu .

Alafu tunakuja kujifariji kaolewa na lizee lakini🤣🤣
 
Kaka nakusimamia ukomedi hakika tutapiga pesa 😄
 
Ni haki yao ya kikatiba na kiutu kuamini wanachotaka kuamini. Hata imani potofu.

Usiwapangie cha kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…