Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Ushawahi kuona tajiri anaoa bikra

Yaani matajiri wengi sana wanaoa wanawake hao ambao ninyi mnawaponda na baadae mnakuwa vibenteni vyao 🤣🤣
Matajiri malofa kama Yule lofa wa Yanga ndio wanaoa malaya na huyo Malaya hafiki 2027 anawekwa benchi.
 
Then in your jouney for searching a rich husband don't blame men who refuse to sponser your lifestyle, insteady blame your broke father and mother, because those are the one who failed you.
Mtu kakulia ugali tembere na dangaa msumari analeta fantacy za Kisinderela😆😆😆😆anataka kula burger na kwenda night out samakisamaki na wavuvi.Hapo lazima afumuliwe mpaka kisoda hakuna pesa ya bureee....
 
Huyo mshamba wa Afrika Magharibi anamda mchache sana kwa huyo kipusa.

sheria inasema "Once a hoe always a hoe"
 
Wadada huku mnatolea mfano wa Hamis na Aziz,je huo uzuri na lile trako la Hamisa kidogo mnalo???
Hii ndio point ye yewe lazi.a uwe na tako kama la hamisa ....jamani mburkina e yule ananesa nalo wezere lote lile...kweli tusake hela
 
Matajiri malofa kama Yule lofa wa Yanga ndio wanaoa malaya na huyo Malaya hafiki 2027 anawekwa benchi.
Acha wivu mkuu.. kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mzuri… na hao wanawake wazuri nyie maskini munawaita malaya

Halafu bro acha kumwita mwenzio rofa wakati kila mtu ana test ya mwanamke anaemtaka… kuna wengine wanapenda wala vichwa vya kuku wengine wala pizza

Status yako ya kiuchumi itaamua uwe ama uoe na mwanamke gani
 
Inashangaza mno, eti mtu hana lolote lile analoleta kwenye mahusiano zaidi ya lile tundu tu, anaringa na kutaka mwanamme tajiri wakati yeye mwenyewe ni alosto tu, hawa wanawake waachwe tu wazeekeane....serikali (ustawi wa jamii) itawasaidia uzeeni wakiwa washachoka kusubiri kupigwa pumbu na wanaume matajiri na vibaka wa goli moja kisha chali.

. cc: Lulu Diva, Wema Sepetu, Kajała, Giggy Vishilingi, na machangu wengine wote wa bongo muvi na madada wa mjini wasiojitambua akili
 
Wanawake sio sawa na wanaume hata akizaa na wanaume wengi anao uhakika wa kusaidiwa na wanawe tofauti na sisi wanaume.
Watoto siku zote ni wa mama
 
Hayo mambo ya wanawake kuwa na watoto wa baba tofauti hayajaanza leo wala jana.. tangu zamani hayo mambo yapo nyakati hizi tu mitandao imekuwa ikitrendisha hizo habari

Ukitaka ujue kama hakuna jipya kwenye hilo suala tembelea kanda ya ziwa kule ndio kuna wanaume halisi wasioogopeshwa na mitandao unalikuta lisukuma ama li kurya linaoa mwanamke mwenye watoto na wale watoto wanakuwa wake hata wakati mwingine hupewa ubin wa hilo lijamaa

Ndugu sijaona alichokosea Aziz Key ni nyie tu wenye roho za wivu na chuki kwa masingo maza… hamtaki waolewe

Uzuri singomaza yoyote akitaka kuolewa mwenye hela ndio wengi huwaoa hao single maza.. nazungumza hela sizungumzii hela ya kula milo mitatu… yaani mwanaume mwenye hela hela hela
Ninyi msiokuwa na hela hamuwezi kuwaoa kwasababu hamjiamini

Sasa mtu kama uchumi wako umekuchumu utaoaje single maza unajitafutia balaa tu
 
Wewe umejuaje kwaMba hao wanawAke sio wa hovyo… kinachofanya useme Hamissa ni wa hovyo ni kwasababu ni celebrate ,, hao wake za kina Mo unayajua maisha yao walipokulia…

Katika kitu nina amini sitaki katika maisha yangu nifanye judgments kwa mwanadamu mwenzangu.. coz no one is perfect as long as ur a human…
Tuna ndugu zetu wengi wanatabia mbaya kuliko huyo hamisa ila wamejifichia kwenye Dini… na Kuna watu wengi sana waliozalishwa and still wako na tabia njema

Huko zamani haya mambo hayakuwa na shida na wengine hapa mnakosakosoa huenda hata sio watoto halisi wa baba zenu… ila kwasababu baba zetu wana akili huwezi kukuta wanaponda wanawake mitandaonii
 
Umeongea pumba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…