Ntakukuta hukohuko we tangulia natokea mkoaπhilo wazo muhimu, mimi nawaza kuondoka hapa nihamie kiwanja kingine. mbona hutokei?
Wewe tena na nyota ya wastaafuMambo ni mengiπView attachment 3655500
Basi hojazipite Bila kupingwaYeye ndo alikua katibu muandika notes
Acha basi halafu kuna live band hapa.Ntakukuta hukohuko we tangulia natokea mkoaπ
Nipee na mzee wako basiπWewe tena na nyota ya wastaafu
Asubuhi yote hiiAcha basi halafu kuna live band hapa.
Nimetoka hapo laivu bendi ipo kwa hewa.Asubuhi yote hii
Saiz ashazeeka sana mpaka inafikia anaongea mwenyewe barabarani hutomuwezaNipee na mzee wako basiπ
Nimecheka balaaa πHalafu hivi vyumba vya kitanganyika vipo kama stoo ukutani kuna tindo na nyembe mnaweza hata kuuana.
Sawa wacha nasie wazee tukajichanganyeNimetoka hapo laivu bendi ipo kwa hewa.
Ndio namliwaza vzr sasa huyo!Saiz ashazeeka sana mpaka inafikia anaongea mwenyewe barabarani hutomuweza
Ni pasieniHana noma huyo na kazi anaiweza, anagawa baraka kwa kila rika, hakika abarikiwe kwa kuwapenda vijana π
Embu subiri kwanza anzia vituo vya kulelea kuleNdio namliwaza vzr sasa huyo!
Nani atanilipa? Au unahisi nafungua charity ya kutawaza wazee?πEmbu subiri kwanza anzia vituo vya kulelea kule
Neema na baraka zitakua nawe kila mahali ii dunia sio chochote... πNani atanilipa? Au unahisi nafungua charity ya kutawaza wazee?π
Baraka ili niende nazo wapi? Hiyo biashara ya kutawaza kuku miguu sifanyi!Neema na baraka zitakua nawe kila mahali ii dunia sio chochote... π
Hahaha. Utamtupia kwenye karai la vyombo. Angle ya kitanda inauma aisee.Nimecheka balaaa π
Unajifanya undertaker step moja dole gumba umeligonga mguu mwa kitanda utaamua umdondoshe au ubebe utamu