Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

Dr. Mariposa ,hii pia itakusaidia!!!!!!!

​

Being nude in public can make us feel better about our bodies​

Hii ilipaswa kuwekwa kwenye ile mada ya wanawake kubakwa na kudhalilishwa, hao wanaume wanapaswa wazoee kuona manyonyo na makalio na uke ili isiwe big deal tena kwao
 
Hakuna mada iliyobadilishwa mbona, sasa utamfanyia yote hayo kama huwezi kuhold for 45 minutes, lol
Unajitetea sana shida nini kwani? kama wewe umeoa si ukamfanyie mkeo uone reaction yake, mbona visingizio vimekua vingi hadi naanza kukuonea huruma😆🤣
Jana BIN NUN ameniambia anataka akusogeze kwangu, nikamwambia next month nina birthday afanye kukusogeza. Alafu mke bado sina. 🤣🤣🤣
 
Anakwambia anataka anisogeze kwako yeye ana mamlaka gani kwangu hadi afanye maamuzi juu yangu?
Mke huna ndio maana hii mada imekushinda, teh teh

Mimi pia birthday yangu ni September
 
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta, naandika haraka haraka huu ujumbe nisije nikasahau, nakijua kichwa changu jamani,

Sasa basi kwa mlio oa na mlio kwenye mahusiano rasmi, wanawake zenu wamenituma niwaambie na wao wanataka kubinuliwa, kubenjuliwa, kusiginwa, kukandwa, kuendeshwa kama farasi huku mmevuta nywele zao, kung'atwa shingoni na kuwaachia love bites, kiufupi wanapenda hizo heka heka ila wanaogopa kuwaambia na wanashangaa na nyie kwanini hamjiongezi,

Wamelalamika, wanaume mmekua wavivu sana, kimoja tu mkienda sana dakika 2 hapo mnaunguruma kama jenereta linaloishiwa mafuta, aibuuu!

Wamama wanasema mmefuga mavitambi na mindevu mnashindwa kuwajibika, mmh! mie kijumbe jamani msinichukie, eti mmoja alisema likitambi linanyonya kile kidude kinabaki kama kipenseli cha mwanafunzi wa la tatu, nyie jamaniii

Nikawauliza wao wanatakaje maana nijuavyo kitambi hakihusiani na sex,
Ndio wakafunguka wanavyotaka, eti siku moja moja wapelekeeni moto hadi wawaite daddies, (kumbe sio kama wanapenda sana hela, ni kuwakomoa tu kwa kua hawaridhiki)

Sasa basi we baba hebu leo ukirudi nyumbani kwako, watume watoto kwa mjomba wakasalimie, ingia ndani na mkeo mpe show show, hata kama una kitambi usiwe mvivu zipo styles tele za wenye vitambi, wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja mtoto wa watu uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🥱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,

Haya kijumbe nishafikisha ujumbe, narudi ndani, nikitumwa jengine nitawamegea chap, habari zangu za fasta fasta hazipoi.
Tchaooo
Mjumbe huna baya, huna fitna, huna uongo usemecho ni ukweli na uhakika.

Binafsi wananiganda hata wakinifumania hawaniachi kwa mateso nnayowapa kwenye 18
 
Anakwambia anataka anisogeze kwako yeye ana mamlaka gani kwangu hadi afanye maamuzi juu yangu?
Mke huna ndio maana hii mada imekushinda, teh teh

Mimi pia birthday yangu ni September
Kwanza hongera kwa kuzaliwa September, alafu isije ikawa hata tarehe yetu ikawa moja ? 😅😅😅

Uwezo huo wa kukusogeza anao na hashindwi aisee, niamini mimi.

Mada haijanishinda na ndio maana naichangia, 😂😂😂 halafu unatupangia cha kufanya huyo mumeo huwa anakufanyia hizo hardcore $£* ? Au una uzoefu nazo ?
 
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta, naandika haraka haraka huu ujumbe nisije nikasahau, nakijua kichwa changu jamani,

Sasa basi kwa mlio oa na mlio kwenye mahusiano rasmi, wanawake zenu wamenituma niwaambie na wao wanataka kubinuliwa, kubenjuliwa, kusiginwa, kukandwa, kuendeshwa kama farasi huku mmevuta nywele zao, kung'atwa shingoni na kuwaachia love bites, kiufupi wanapenda hizo heka heka ila wanaogopa kuwaambia na wanashangaa na nyie kwanini hamjiongezi,

Wamelalamika, wanaume mmekua wavivu sana, kimoja tu mkienda sana dakika 2 hapo mnaunguruma kama jenereta linaloishiwa mafuta, aibuuu!

Wamama wanasema mmefuga mavitambi na mindevu mnashindwa kuwajibika, mmh! mie kijumbe jamani msinichukie, eti mmoja alisema likitambi linanyonya kile kidude kinabaki kama kipenseli cha mwanafunzi wa la tatu, nyie jamaniii

Nikawauliza wao wanatakaje maana nijuavyo kitambi hakihusiani na sex,
Ndio wakafunguka wanavyotaka, eti siku moja moja wapelekeeni moto hadi wawaite daddies, (kumbe sio kama wanapenda sana hela, ni kuwakomoa tu kwa kua hawaridhiki)

Sasa basi we baba hebu leo ukirudi nyumbani kwako, watume watoto kwa mjomba wakasalimie, ingia ndani na mkeo mpe show show, hata kama una kitambi usiwe mvivu zipo styles tele za wenye vitambi, wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja mtoto wa watu uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🥱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,

Haya kijumbe nishafikisha ujumbe, narudi ndani, nikitumwa jengine nitawamegea chap, habari zangu za fasta fasta hazipoi.
Tchaooo
Nimepaliwa na pilipili sijamalizia kusoma,ntarudi tena baadaye,sijui itakua hii pilipili kwenye supu au ni huu uzi...
 
Hahahaha hako kadada sio mimi, kwa sababu sina page/blog, situmii hili jina zaidi ya JF as sio jina langu halisi, kubwa zaidi siweki sura yangu kwenye mitandao,

Mazoezi ndio kila kitu nashangaa kwanini watu wanachukia wakati afya ndio inataka hivyo
Ngoja nitafute namna nije kuthibitisha yaliyomo yamo au unatusuta tu.
Zoezi unalo!
 
Kuna mtu hapo juu amesema ni madhara ya pornography, naunga mkono hoja ni wazi wanawake wengi sana waliopo kwenye mahusiano wanaangalia pornography na inawapelekea wao kutaka Kila wanachokiona wafanyiwe in real life bila kujua kuwa pornography ni dizaini ya muvi ni aina fulani ya maigizo, kitu unachokiangalia kwa lisaa limoja kinaweza kuwa kimetengenezwa kwa siku nzima kwa kuunganisha unganisha scenes, pia ni sekta inayoongoza kwa wanaume kutumia viagra, so siyo Kila mwanaume pale anapeleka moto kwa nguvu zake wengi wanaji boost, tuache kuangalia pornography, inadanganya akili na inaweza kuharibu mahusiano
 
Hakika Mkuu watu wengi wanachanganya sex na porn
Kwa kifupi kuna tofauti kati ya tendo na zile picha 😅😅😅

Watu wengi huchukulia picha na video ndio sex yenyewe kumbe ni mauzauza tu
 
Kwa hiyo mwanamke hastahili kupewa anachokipenda? kumbeba mkeo na kumuegemeza ukutani nayo ni porn? kumchapa vibao vya makalio ukiwa umemuweka doggy nayo ni porn? kumuachia love bites shingoni nayo ni porn? acheni visingizio na nyie au ndio ushamba unawasumbua, mahusiano huharibika pale kwenye kisekunde tu chaliii
 
Hakika Mkuu watu wengi wanachanganya sex na porn
Kwa kifupi kuna tofauti kati ya tendo na zile picha 😅😅😅

Watu wengi huchukulia picha na video ndio sex yenyewe kumbe ni mauzauza tu
Kabisa wengi wanajua Yale mambo ni real kumbe Kuna editing nyingi mpaka unaipata video yenyewe, picha zile ndo zinachangia hadi baadhi ya wanaume kujiona hawawezi kutokana na kuona mtu yuko juu ya mwanamke lisaa lizima akishughulika kumbe hapo katikati wamepumzika vya kutosha au wamerecord zaidi ya siku moja video ya dk 60 au masaa 2
 
Back
Top Bottom