WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
Wakuu I salute you kinsmen

Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu.

Mosi
Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu.

Tatizo ni moja mashabiki wa Tanzania hatuna uvumilivu na tunageuka geuka

Alipokuwa Gamondi mlisema anaweka kikosi kauka nikuvae, hata makocha wengine nao mkasema hawawapi nafasi vijana wengine..

Na sasa hii kauka nikuvae ndio inayotuponza kwenye mashindano kimataifa maana huko inatakiwa uwe na wachezaji karibu 25 complete ambao muda wowote wanaweza kucheza.

Sasa sio unakikosi kimoja tu wakitoa hao wanaingia hakuna kitu.

Hilo kocha wetu alilisema anataka kujenga kikosi kipana ambapo karibu wachezaji 25 strongly wanaweza kucheza bila shida!

Ninachoona anajaribu kumpa nafasi kila mmoja ili kumjengea confidence na uzoefu lakini bado mnalalamika tu

Wakiwekwa nje nako mnalalamika! Mpewe nini sasa??

Kimsingi usajili wa msimu huu uko vizuri sana kwa kweli sioni tatizo husika

Ngoma yeye aliletwa kama namba 6 lakini unaona kabisa kocha anajaribu kumuweka namba 8 which is so good for the player. Jamaa ni passer mzuri sana namuona namba 8 ikimfaa sana..

Kwahiyo muacheni kocha afanye kazi yake. Kuhusu kumrudisha Gamondi hapana kwa kweli, yule mzee ni kocha mzuri lakini lifestyle yake inawaathiri wachezaji..

Muacheni kocha kuna kitu anapika l, after kuona ile game ya juzi na waethiopia naona wazi kuna kitu anatengeneza! Acha tuone


Tupunguze mihemko

Its Pancho
 
Mjomba huu ni mwanzo wa ligi. Kocha anatakiwa akijenge kwanza kikosi chake cha kwanza kitakachokuwa na maelewano uwanjani. Baada ya hapo ndiyo aanze sasa kuingiza wachezaji wengine ili kuwa na kikosi kipana.

Lakini pia changamoto ya kufanya sub zisizo na msaada imeonekana kwenye mechi nyingi. Mfano kwenye mechi ya mwisho ya ligi dhidi ya Geita Gold, timu ilikuwa pungufu kuanzia dakika ya 19 tu ya mchezo baada ya Azizi Kii kutolewa kwa kadi nyekundu!

Mara zote timu inapokuwa pungufu, kocha anatakiwa kuwaingiza wachezaji wa kwenda kufidia gepu la yule mchezaji mmoja aliyetolewa! Badala yake siku ile kocha alimuingiza Clement Mzize ambaye alikuwa majeruhi kwa muda mrefu! Mzize angecheza kwenye ile mechi kwa dakika chache tu, tena baada ya timu labda kuongiza kwa goli 3+ hivi! Bado hakuishia pale, nje kulikuwa kuna viungo wazoefu wa kushambulia na kukaba!

Badala ya kuwaingiza hao ili kutengeneza uimara wa timu, yeye akamuingiza mtoto wa U20 Salehe Mahsen sijui! Dogo alipoingia alikuwa anaruka ruka tu muda wote!
Timu ilielemewa kwa kiwango ambacho hatukuwahi kukishuhudia hapo kabla. Ni vile tu Geita Gold walikuwa hawana bahati. Ila walitakiwa kushinda ile mechi kwa goli zaidi ya 3! Kisa tu uzembe wa mwalimu kwenye kufanya maamuzi sahihi.

Kwenye ukweli lazima tuseme! Kocha ana wachezaji wengi wazuri na yeye pia siyo mbaya kihivyo. Isipokuwa anatakiwa awaingize wachezaji kwenye kikosi cha kwanza kwa tahadhari na umakini mkubwa ili kuipusha timu kupoteza baadhi ya mechi kutokana na wachezaji kukosa muunganiko (chemistry). Lakini pia sub zake zinatakiwa kuwa na mashiko. Siyo anatoa wachezaji, halafu mfumo wa timu unaharibika badala ya kuimarika zaidi.
 
Wakuu I salute you kinsmen

Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu.

Mosi
Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu.

Tatizo ni moja mashabiki wa Tanzania hatuna uvumilivu na tunageuka geuka

Alipokuwa Gamondi mlisema anaweka kikosi kauka nikuvae, hata makocha wengine nao mkasema hawawapi nafasi vijana wengine..

Na sasa hii kauka nikuvae ndio inayotuponza kwenye mashindano kimataifa maana huko inatakiwa uwe na wachezaji karibu 25 complete ambao muda wowote wanaweza kucheza.

Sasa sio unakikosi kimoja tu wakitoa hao wanaingia hakuna kitu.

Hilo kocha wetu alilisema anataka kujenga kikosi kipana ambapo karibu wachezaji 25 strongly wanaweza kucheza bila shida!

Ninachoona anajaribu kumpa nafasi kila mmoja ili kumjengea confidence na uzoefu lakini bado mnalalamika tu

Wakiwekwa nje nako mnalalamika! Mpewe nini sasa??

Kimsingi usajili wa msimu huu uko vizuri sana kwa kweli sioni tatizo husika

Ngoma yeye aliletwa kama namba 6 lakini unaona kabisa kocha anajaribu kumuweka namba 8 which is so good for the player. Jamaa ni passer mzuri sana namuona namba 8 ikimfaa sana..

Kwahiyo muacheni kocha afanye kazi yake. Kuhusu kumrudisha Gamondi hapana kwa kweli, yule mzee ni kocha mzuri lakini lifestyle yake inawaathiri wachezaji..

Muacheni kocha kuna kitu anapika l, after kuona ile game ya juzi na waethiopia naona wazi kuna kitu anatengeneza! Acha tuone


Tupunguze mihemko

Its Pancho
Ukweli mchungu, tatizo pale Yanga siyo makocha wala nini, tatizo ni usajili usiyoendana na mahitaji ya timu!
Mfano unasajili strikers 2 wa kigeni wa nini wakati namba 8 mzuri huna mpaka max anarudishwa kucheza hapo na hana mbadala! Ile kumchezesha mechi zote bila ya kumpunzisha ni Alert mnapewa viongozi!
 
Back
Top Bottom