Mipasho mingi, kama hadija kopa na mwanaeJibu hoja kwa mantiki acha kufubaza ubongo kwa SCRIPT za kumezeshwa.
Kwa ufahamu wako unajua hata biblia na quraani vyote vimechambulia na kuwekwa yale yawapendezao walioamua kuvihariri na kuvichambua vitabu hivyo.
Kama kitabu wewe unachokiona kitakatifu kilitiwa mkono na kuchambuliwa na mwanadamu huo utakatifu uko wapi.
Mmelishwa upupu kiasi kwamba mnamacho na hamuoni.Mnamasikio na hamskii.Mnaaakili ila ziko frozen🤔🤔🤔
Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, ndoa ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili.Sasa mbona mtume wa Mungu Paul anatushauri kama hatujaoa tusioe?
Leta hoja kijana acha kuruka kama maharage jikoni.Labda paulo bashite
Kijana nenda kalale.Nimekuonyesha uzwazwa uliokujanao kama backup ya kutetea hoja yako ila naona ulichelewa kulia wakati wa kuzaliwa hivyo unaelewa taratibu mno.Mipasho mingi, kama hadija kopa na mwanae
Kwani mm nikifuata hizo unazoita script wewe kinakuuma nini?
Hata mimi mkuu nachanganyikiwa...Sasa mbona mtume wa Mungu Paul anatushauri kama hatujaoa tusioe?
Hakuna utimamu dr.Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, ndoa ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili.
Lakini kuowa au kuolewa si lazima ni hiyari ya mtu.
😄Labda paulo bashite
Kwahiyo mtume wa Mungu Paul hakuwa timamu?Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, ndoa ni kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili.
Lakini kuowa au kuolewa si lazima ni hiyari ya mtu.
Barua walioandikiwa Wakorinto wewe Mmatumbi inakuhusu nini?😄
Acha dhihaka kwa mtume wa Bwana, rejea barua yake ya kwanza kwa wakorintho aya 7 kuanzia mstari wa 25 hadi 28.
Paul alikuwa jambazi tu, muda wa kujenga familia ulishampita.Kwahiyo mtume wa Mungu Paul hakuwa timamu?
Mungu alimtuma Paul atuambie ndoa sio lazima, ila mbondei mmoja anakuja ndoa ni amri toka kwa Mungu. 🤗Hata mimi mkuu nachanganyikiwa...
Akili za waafrika ni mataputapu tupu!!!Barua walioandikiwa Wakorinto wewe Mmatumbi inakuhusu nini?
Si ndio barua hizohizo mnazotumia kutuambia eti ndoa ni amri toka kwa MunguBarua walioandikiwa Wakorinto wewe Mmatumbi inakuhusu nini?
Wajinga ndio waliwao.Mungu alimtuma Paul atuambie ndoa sio lazima, ila mbondei mmoja anakuja ndoa ni amri toka kwa Mungu. 🤗
Sasa kwanini Mungu alimtumia jambazi asie timamu kuwa mwakilishi wake?Paul alikuwa jambazi tu, muda wa kujenga familia ulishampita.
Say more,,,Wazaz wako wana hasara ya kudum
ni kutuonea tu,..📌Mmeambiwa mlipe kodi na mkae sehemu moja mtulize makende mjini sio kila mahali watu wanauza sumu ya panya na mataulo.
Hao wakorintho siwajui mm muongozo wangu ni Quran.😄
Acha dhihaka kwa mtume wa Bwana, rejea barua yake ya kwanza kwa wakorintho aya 7 kuanzia mstari wa 25 hadi 28.