Paulo alitoa ushauri kama huwezi kuzuia nyege bora uoe, kuliko kuwaka tamaa kwa nyakati hizi za mwisho! na kutooa sio dhambi...Mungu alimtuma Paul atuambie ndoa sio lazima, ila mbondei mmoja anakuja ndoa ni amri toka kwa Mungu.
Yaani umeandika mashudu matupu,afu ukute ni graduate wewe.....ngoja ufike 55 au 60 age ndo utaelewa huo upuuzi unaouwaza.1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu.
2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi nyuchi zenu zina kipi ambacho binadamu wengine hawana mpaka mkatae kuhudumiwa kisa aibu za kijinga.
3.Mnajua kuwa ukileta mtoto duniani lazima umuachie urithi???
Nyie mmejipangaje kuwaachia watoto wenu urithi gani wa maana ili waendeleze ukoo wako??, elimu sio urithi huo ni wajibu kwasababu hukulazimishwa kumzaa huyo mtoto ni uwezo wako mdogo wa kufikiri na uliamua mwenyewe kufata mkumbo ndio kinakusumbua.
Kumlea mtoto ni wajibu wala sio hisani ni wajibu. Hukulazimishwa kuzaa hovyo na ndio manaa usipolea mkojo wako mpaka serikali itakutafuta ikushurutishe.
4.Swala la kuendeleza kizazi ni issue sensitive sana haipaswi kila mwenye uchi azae hovyo laxima kuwe na control na pawepo ulazima watu wafanye selection.Huu ujinga wa kuzaliana hovyo ndio unafanya matahira yanazaana na inakuwa ngumu kutokomeza ujinga.
Mfano dunia labda inauhitaji wa watu elfu moja.Mnaamua wale wenye IQ kubwa na wenye DNA zenye resistance na magonjwa na uwezo wa kusurvive ndio pekee wajamiiane na kuzalisha kizazi productive and needed.
Sheria zitungwe na zilazimishwe kufatwa binadamu mbao ni manamba kwao iwe marufuku kujamiaana(wafungwe vizazi) na kuleta matatazo ambayo leo ndo tunaona watu wanazaa hovyo watoto wanakosa malazi,mavazi na wanajikuta wanaishia kuwa machinga,ombaomba,makahaba na wezi,na binadamu waishio chini ya dola moja.
Hawa watu wanaoteseka leo hii duniani wengi ni matokeo ya hii experiment ya kuitwa NDOA.NDOA IS A WHITE ELEPHANT PROJECT!!!
Nawasubiri mlete hoja zenye mashiko.Msije na hoja za kupikiwa sijui kufuliwa hayo ni majukumu ambayo mtu timamu anatakiwa awe anaweza kuyatekeleza!!!
Matendo 9:1–19. Sauli alikuwa akiwatesa wafuasi wa Yesu. Alipokuwa njiani kwenda Damasko, aliona nuru kutoka mbinguni na Yesu akazungumza naye:Sasa kwanini Mungu alimtumia jambazi asie timamu kuwa mwakilishi wake?
Swali lipo ndani ya madaTafuta tusi jipya!!!
Mwenzio kabla sijaandika mada nilijua mtakuja kwa namna yoyote ile kufubaza uzi ila jaribu tena leo nipo gado👋👋👋😄😄😄
Linda mgongo wako daogo1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu.
2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi nyuchi zenu zina kipi ambacho binadamu wengine hawana mpaka mkatae kuhudumiwa kisa aibu za kijinga.
3.Mnajua kuwa ukileta mtoto duniani lazima umuachie urithi???
Nyie mmejipangaje kuwaachia watoto wenu urithi gani wa maana ili waendeleze ukoo wako??, elimu sio urithi huo ni wajibu kwasababu hukulazimishwa kumzaa huyo mtoto ni uwezo wako mdogo wa kufikiri na uliamua mwenyewe kufata mkumbo ndio kinakusumbua.
Kumlea mtoto ni wajibu wala sio hisani ni wajibu. Hukulazimishwa kuzaa hovyo na ndio manaa usipolea mkojo wako mpaka serikali itakutafuta ikushurutishe.
4.Swala la kuendeleza kizazi ni issue sensitive sana haipaswi kila mwenye uchi azae hovyo laxima kuwe na control na pawepo ulazima watu wafanye selection.Huu ujinga wa kuzaliana hovyo ndio unafanya matahira yanazaana na inakuwa ngumu kutokomeza ujinga.
Mfano dunia labda inauhitaji wa watu elfu moja.Mnaamua wale wenye IQ kubwa na wenye DNA zenye resistance na magonjwa na uwezo wa kusurvive ndio pekee wajamiiane na kuzalisha kizazi productive and needed.
Sheria zitungwe na zilazimishwe kufatwa binadamu mbao ni manamba kwao iwe marufuku kujamiaana(wafungwe vizazi) na kuleta matatazo ambayo leo ndo tunaona watu wanazaa hovyo watoto wanakosa malazi,mavazi na wanajikuta wanaishia kuwa machinga,ombaomba,makahaba na wezi,na binadamu waishio chini ya dola moja.
Hawa watu wanaoteseka leo hii duniani wengi ni matokeo ya hii experiment ya kuitwa NDOA.NDOA IS A WHITE ELEPHANT PROJECT!!!
Nawasubiri mlete hoja zenye mashiko.Msije na hoja za kupikiwa sijui kufuliwa hayo ni majukumu ambayo mtu timamu anatakiwa awe anaweza kuyatekeleza!!!
Ukifika hii stage lazima ufe tuUzee wako utakuwa wa masikitiko
View attachment 3686301
Ndoa tamu vijana wasogope
Habari yako MahondawNdoa tamu vijana wasogope