Nafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.Hv unafatilia ht vyombo vya habari au ww nae ni mpuuzi kama mtoa mada.? Serikali imetoa zaidi ya B ila hizo zinakwenda kwenye familia moja kwa moja kwa waliofiwa
Rais anathamini magoli ya Simba kuliko uhai wa watu wake. Aibu naona mm.Hajitambui tu
duuuh cjui umewaza niniRais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Itakuwa wewe peke yako ndiyo umeambiwa kuhusu kuwajengea. Lkn tamko la rais ni kila mwili milioni 1Nafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.
Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Bado ww ni mpuuzi tuu, kwahy ulitaka wapewe mamilioni.? Unadhani wote waliofariki walikuwa productive.? Bc toa ww hizo unazoona wanapaswa kupewaNafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.
Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Kwahiyo magoli ya Simba ni more productive kuliko watu wa Hanang???Unadhani wote waliofariki walikuwa productive.?
Erythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!
Angalia hotuba ya waziri mkuu na rais ya juzi juma pili. Wote watajengewa nyumba. Mimi ninaamini hivyo.Acha kupotosha. Hiyo ya kujengwwa nyumba ndiyo unaisema wewe. Tamko la rais ni kila mwili milioni 1.
Erythrocyte hawezi kuona aibu kwasabb chadema haikusanyi Kodi na tozo toka kwa wananchi.Erythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!
Hapana sio kwamba anaona aibu, tatizo ni pesa zinakuwa nyingi sana hvy wanachoka kuhesabu. Em fikiria nasikia hadi ile mashine ya kuhesabu pesa ilipata moto na kuacha kufanya kazi kutokana na overdose ya kuhesabu pesaErythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!
Lkn c alisema chadema mmetoa mamilioni, hayo mamilioni yametoka wapi.? Na mbona hamtaji ni mamilioni mangapi.? πErythrocyte hawezi kuona aibu kwasabb chadema haikusanyi Kodi na tozo toka kwa wananchi.
Siyo wote. Kasema wale ambao nyumba zao zimebomoka.Angalia hotuba ya waziri mkuu na rais ya juzi juma pili. Wote watajengewa nyumba. Mimi ninaamini hivyo.
Huyo mjinga mwenzio tayari yuko kwenye ignore list bado weweErythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!
Rais Samia ni ama hajielewi ama haelewinthamani ya binadamu.Lkn c alisema chadema mmetoa mamilioni, hayo mamilioni yametoka wapi.? Na mbona hamtaji ni mamilioni mangapi.? π
Sasa ulitaka hata ambao hazijabomoka zijengwe? Rambirambi 1 m sio mbaya, hiyo wala sio fidia maana hakuna kinachofidiwa,Siyo wote. Kasema wale ambao nyumba zao zimebomoka.
Hapa tunahoji kwann fidia ya marehemu ni ndogo kuliko goli la Simba? Je, mtanzania ana thamani ndogo kuliko goli? Au rais ndiye hajielewi?
Pesa zilizotoka kwenye magoli ni sh ngapi na pesa za hao marehemu ni sh ngapiSiyo wote. Kasema wale ambao nyumba zao zimebomoka.
Hapa tunahoji kwann fidia ya marehemu ni ndogo kuliko goli la Simba? Je, mtanzania ana thamani ndogo kuliko goli? Au rais ndiye hajielewi?
Sawa nmekuelewa, haya Nambie chadema walitoa mamilioni mangapi huko Manyara na zilitoka wapi mana nyie hamkusanyi kodi wala tozoRais Samia ni ama hajielewi ama haelewinthamani ya binadamu.
Hivi kweli goli la Simba Lina thamani mara 10 kuliko uhai wa mtanzania? Au kwa kuwa yeye ni mzaznzibari??
Hakika ! hata hivyo hao masikini mara zote nimewaambia kwamba mimi si msemaji wa Chadema , mimi ni mwandishi wa jf tuErythrocyte hawezi kuona aibu kwasabb chadema haikusanyi Kodi na tozo toka kwa wananchi.
Nipo kwenye list ya ignore afu bado nakuona kamanda wangu π unyama sana πͺHuyo mjinga mwenzio tayari yuko kwenye ignore list bado wewe
Sawa muandishi wa JF, kwakuwa umeandika khs chadema kutoa mamilioni naomba utuambie zilikuwa n mamilioni mangapi na zilitoka wapi.?Hakika ! hata hivyo hao masikini mara zote nimewaambia kwamba mimi si msemaji wa Chadema , mimi ni mwandishi wa jf tu