Naona uhalisia wa kujengewa hao waathirika...tusubiri tuone. Naona Rais Samia anajitahidi kwenye hili jambo sijui kwanini watu wamekua negative sana. Zineshakusanywa zaidi ya bilioni tano Kwa ajili ya ujenzi....Hizo ni political statements. Uhalisia ungeoneka kwanye rambi rambi.
Vp umeshaenda Uwani lakini😅😅😅😅🖕
Mwulize mamako ndio aliyekuzaa we zuzuRais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Serikali ikiwajengea nyumba tutaona, kwa serikali ipi tuliyonayo ijenge nyumba bwana! Usaid wametoa $100k, huko arabuni wametoa rambirambi ila zitatafunwa na wachache tu.Hao wafiwa waliopewa 1m kwa kila kifo,Bado wanapewa huduma zote muhimu kipindi wamepoteza makazi yao na bado serikali itawajengea makazi mapya.
Tujifunze kuwa na shukurani,,
Rambirambi siyo mtaji.
Nmeenda na mama ako kumtawazaVp umeshaenda Uwani lakini😅😅😅😅🖕
Kumtawaza nn we zombi😄😄😄😄😄😄😄Nmeenda na mama ako kumtawaza
Haichekeshi.Chadema tumetoa mamilioni, wanachadema tumechanga pesa nyingi sana hadi mwenyekiti wetu Mbowe na kitengo cha fedha wakashindwa kuzihesabu ila kwa busara zake akaamua kuzibeba na kuzipeleka zote bila ht kuzihesabu
CC Erythrocyte
Wewe mpumbavu Yanga na taasisi zingine zilizochangia wanakusanya kodi?Chadema hela watoe wapi kuna kodi wanakusanya?
Wanajua fika sehemu ya kumpumbazia Mtanzania na haswa wale Mazezeta ambao ndio wengi kwenye Jamii ni mpira.Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Kwani mama samia yeye binafsi katoa sh ngapi? Usiongelee hizo ambazo ni kodi toka biashara za chadema pia
Hebu tumieni akili, fedha inayotolewa na serikali si ya CCM, ni fedha ya wananchi wa Tz. Hii ya kusema mama katoa mama kafanya vile ni ujinga tu wa machawa. Sijuhi ni kwanini Tz wajinga wanazidi kuongezeka.Wewe mpumbavu Yanga na taasisi zingine zilizochangia wanakusanya kodi?
Njaa kali.Sijuhi ni kwanini Tz wajinga wanazidi kuongezeka.
CCm imetoa sh?CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Chadema imeingiaje hapo?.Acha kuwashwa na chadema.Serikali mnayo nyie ila kutwa kuwashwa na chadema.CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Akikujibu unitagCCm imetoa sh?
Na wao kwani wanakusanya kodi?