Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Hizo ni political statements. Uhalisia ungeoneka kwanye rambi rambi.
Naona uhalisia wa kujengewa hao waathirika...tusubiri tuone. Naona Rais Samia anajitahidi kwenye hili jambo sijui kwanini watu wamekua negative sana. Zineshakusanywa zaidi ya bilioni tano Kwa ajili ya ujenzi....
 
Siku hizi Serikali haitoi pesa bali rais ndo amekuwa akitoa za kwake.
 
Hao wafiwa waliopewa 1m kwa kila kifo,Bado wanapewa huduma zote muhimu kipindi wamepoteza makazi yao na bado serikali itawajengea makazi mapya.

Tujifunze kuwa na shukurani,,
Rambirambi siyo mtaji.
Serikali ikiwajengea nyumba tutaona, kwa serikali ipi tuliyonayo ijenge nyumba bwana! Usaid wametoa $100k, huko arabuni wametoa rambirambi ila zitatafunwa na wachache tu.

Halafu shukrani ambayo kimsingi ni haki yetu? Au hujui hiyo inatoka kwa mfuko wa maafa, ambao kimsingi ni kodi yako na yangu? It's like mnaona ni favor na sio wajibu wao kufanya.
 
Nmeenda na mama ako kumtawaza
Kumtawaza nn we zombi😄😄😄😄😄😄😄
Uzuri umeanza na neno 'Mama"
Ina maana umemwita mama aliekuzaa.bora angeitoa hiyo mimba tu.🤔.hasara tupu.eti ukute na wewe unafanilia kwa Akili fupi Kama funza🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chadema tumetoa mamilioni, wanachadema tumechanga pesa nyingi sana hadi mwenyekiti wetu Mbowe na kitengo cha fedha wakashindwa kuzihesabu ila kwa busara zake akaamua kuzibeba na kuzipeleka zote bila ht kuzihesabu

CC Erythrocyte
Haichekeshi.
 
Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?

Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?

Nani mshauri wa raisi?
Wanajua fika sehemu ya kumpumbazia Mtanzania na haswa wale Mazezeta ambao ndio wengi kwenye Jamii ni mpira.

Juzi Juzi nilikuwa namuangalia You Tube Blogger WODE MAYA akiwa Brazil ambako mpira hupendwa sana sijaona Wananchi ambao hawajanywa chai wakiwa vijiweni wakibishana kama hawa wetu wa Simba na Yanga.

Jenerali Ulimwengu alinifurahisha sana aliposema "Embecileization"😆😂

El Jenerali take five👊
 
Wewe mpumbavu Yanga na taasisi zingine zilizochangia wanakusanya kodi?
Hebu tumieni akili, fedha inayotolewa na serikali si ya CCM, ni fedha ya wananchi wa Tz. Hii ya kusema mama katoa mama kafanya vile ni ujinga tu wa machawa. Sijuhi ni kwanini Tz wajinga wanazidi kuongezeka.
 
CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Chadema imeingiaje hapo?.Acha kuwashwa na chadema.Serikali mnayo nyie ila kutwa kuwashwa na chadema.
 
Back
Top Bottom