macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Da... unasubiri tena ukose plan gani wakati kuna matukio mengi yameshatokea. Sativa alielezea kila kitu na wahusika. Hata Ali Kibao, Polepole, hawa serikali haiwezi kukwepa. Polepole alipokoswakoswa kwa mara ya kwanza na dada yake kuchukuliwa, mbona wahusika walijulikana?Ila siku moja...akili yangu inaniambia Kuna utekaji utakosa plan na itakuwa aibu ya mwaka kwa wenye mfumo wa kuteka...na Kila kitu kitakuwa wazi
Mkuu kuna watu wanajua kupiga,,, unagongwa mpaka inafikia kipindi hata kama huhusiki na mauaji una wish bora tu ungehusika ili ukawaletee tu hicho kichwa.Na kipigo wanachotoa kama una haujawa jambazi sugu, hutoboi hata dk 1 lazima uanze kuwatajaa
Hiyo ya kuminywa mbupu sio mchezo, yaani wakisogeza tu pliers jina lolote litakalonijia kichwani nalitaja... watu wote ninaowafahamu kazi wanayo.Hapo kuna kuminywa wataje nani aliwatuma,wale jamaa wa kigogo ndiyo watakuwa na shuguli
Ova
Nakuelewa mkuu...Da... unasubiri tena ukose plan gani wakati kuna matukio mengi yameshatokea. Sativa alielezea kila kitu na wahusika. Hata Ali Kibao, Polepole, hawa serikali haiwezi kukwepa. Polepole alipokoswakoswa kwa mara ya kwanza na dada yake kuchukuliwa, mbona wahusika walijulikana?
Tumia akili, ina maana wewe ukiongea na mimi kesho watekaji wakapita na mimi waanze uchunguzi na wewe ilihali hujui lolote na hata kuua kunguni tu huweziInaumiza mno, Ila ulivyounganisha dots na mimi ni hivyo hivyo pia, yule dada aliepiga simu ambae ndie huyo Happiness, atakua ndie aliekua akimegwa na huyo dogo Temba ila nadhani alikua ni mke wa huyo jamaa wa maabara. Hao wengine watakua ndio "killing squad" waliotumwa kumfanyizia Temba huo ukatili wote. Siku hizi kukamata wahalifu si kazi sana maana tracking inaanzia kwenye simu kwa mtuhumiwa wa kwanza, halafu inahamia kwenye miamala, messages na movement za location. Na kuna simu zingine zina camera zinajirecord automatilly bila hata mwenye simu kujua only sisi vijana wa Mossad ndio tuna utaalam huo. Kifo cha huyu dogo kimeniuma sana sana. Innaihlayhi wainnaihyi rajioun. RIP.
Polisi hasa majaaa ya ant robbery au yale ya ofisi za ma RCO ... mmh! hapana aiseeee unaweza kila makosa mambo yasiwe mengi, unapigwa hadi unakojoa damu tuMkuu kuna watu wanajua kupiga,,, unagongwa mpaka inafikia kipindi hata kama huhusiki na mauaji una wish bora tu ungehusika ili ukawaletee tu hicho kichwa.
Mtoto wa kiume wa miaka 23 hata hajielewi kimaisha anaweza kuwa hata kaajiriwa miaka minne iliyopita ila still ni zwazwaMkuu miaka 23 tayari anajua baya na zuri
Wachache sana wa huo umri wanaweza kufanya ukatili wa namna hii
Yani hii sio kuhusu kukomaa akili, ni ujinga na ukatili
Yani kama uthibitisho ukionekana ni asilimia 100 wanahusika, then ni kuwanyonga tu bila huruma
Miaka 23 ni dume zima linaelewa linachofanya
😄Hiyo ya kuminywa mbupu sio mchezo, yaani wakisogeza tu pliers jina lolote litakalonijia kichwani nalitaja... watu wote ninaowafahamu kazi wanayo.
Hapo ss uchawi unageuka muhimu sana kulipiza kisasiSana maana kwa kitendo walichofanya ni zaidi ya unyama,
Mtu anazikwa bila kichwa wazazi,ndugu jamaa marafiki lazima waumie sana
Ova
Wenzake wamegoma kutaja kichwa kilipo? Mpaka Leo wanahojiwa tu? Pelekeni mawazo na fikra beyond that.Yule dada aliyepiga simu kwa wazazi wake ndo amewachoma wenzake
Wasubirie hukumu yao ya kunyongwa tu
Sina mkuu ,ni just kuunganisha dots.Mkuu undani wa kilichotokea unacho nini? Pengine upo karibu na tukio au wahusika. Nauliza kwa sababu inaelekea una inside info kwani una uhakika. Hebu tuelezee... ikikupendeza.
Tuwaachie jeshi la polisiWenzake wamegoma kutaja kichwa kilipo? Mpaka Leo wanahojiwa tu? Pelekeni mawazo na fikra beyond that.
What if walio KAMATWA SIO wahusika? What if wamesukumiwa mzigo tu?
What if what if...!!!!!?
Na ikiwa ni wahusika lakini hawajataja kichwa kilipo basi tupigie msitari kuwa hao jamaa wa nne ni manunda zaidi ya magaidi waliokula darasa tangu utotoni mwao.
Ha Hachomoki huyo kama jamaa wakithibitisha kama yeye aliwatuma hao jamaa wa kigogoEheee wale wataminywa sana MBUPU....ila Mrwana maabara akiwa smart anahepa hilo JUMBA BOVU.
Hizi kazi zinawenyeweIla haya mambo ya kuua inabidi may be ukiua uwe peke yako,, maana mkigiana simu tu kwenye mipango ya kuua baadae wanakuja ku track.. pia ikitokea mwenzako amekamatwa wakiminya mbupu tu lazima akutaje, maana mtu hawezi akakubali mbupu zake zipasuliwe kwa ajili ya kulinda misimamo ya kutotajana.
Huko kuna sehemu wakipelekwa hakuna cha ununda mkuuWenzake wamegoma kutaja kichwa kilipo? Mpaka Leo wanahojiwa tu? Pelekeni mawazo na fikra beyond that.
What if walio KAMATWA SIO wahusika? What if wamesukumiwa mzigo tu?
What if what if...!!!!!?
Na ikiwa ni wahusika lakini hawajataja kichwa kilipo basi tupigie msitari kuwa hao jamaa wa nne ni manunda zaidi ya magaidi waliokula darasa tangu utotoni mwao.
Huyu jamaa yetu anamlinda kweli mtu wa maaabara tangu mwanzo wa Uzi anamtetea TU. wakati sinario kama ikiwa kama ilivoletwa hapa huyo jamaa wa Boma hachomokiHa Hachomoki huyo kama jamaa wakithibitisha kama yeye aliwatuma hao jamaa wa kigogo
Ova
Sasa kama ni hivyo na hao ndio watuhumiwa kwanini kichwa hakijapatikana mpaka sasa don't you smell something rat here?Huko kuna sehemu wakipelekwa hakuna cha ununda mkuu
Nakumbukaga zamani pale
Staki shari kulikuwa na muhembe unaitwa msema kweli????
Ova