Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na mwenza wake Mh. Mohamed Mchengerwa katika moja ya mitoko yao.
F6639BA6-BFDA-4383-855B-39C3CE42074C.jpeg
 
Na Mama ake kamuanzishia ngo inapokea mabilioni. Mume ni waziri tamisemi. Ni maposho ya safari, hapo hatujahesabu maokoto ya rushwa za watu wanaoomba tenda tamisemi. Tena kuna maokoto mengine yanamsubiria kwa ajili ya kivumbi cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaani raaaaha bin raaaaha 🤣🤣
kwa HAPA KUBALI NDOA

KATAA KUOA MZIGO,
KATAA KUOA MGANGA NJAA
 
Na Mama ake kamuanzishia ngo inapokea mabilioni. Mume ni waziri tamisemi. Ni maposho ya safari, hapo hatujahesabu maokoto ya rushwa za watu wanaoomba tenda tamisemi. Tena kuna maokoto mengine yanamsubiria kwa ajili ya kivumbi cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaani raaaaha bin raaaaha [emoji1787][emoji1787]
Tulia Sheikh…Wewe si ulioa mwny Zegembe na guu la bia !

kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom