Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Kuna watu wanabahati sana hapa Duniani yeye Mbunge,Mume wake Waziri Mama Rais Baba Mstaafu na First gentleman.
Neema ukiizoea wala huoni kama ni jambo kubwa na huo ndio udhaifu wa kibinadamu

Hussein Mwinyi anazaliwa Baba yake akiwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Znz akiwa na Miaka sita Baba yake akaukwaa Uwaziri wa Afya na safari ikaendelea hadi leo.


usishangae King Charles wa England anachukulia kawaida kuzaliwa ndani ya kasri la Mfalme, Baba na Mama ambao wote wanatoka kwny familia za kifalme na walizaliwa ndani ya Makasri na kakulia kwny kasri na hatimae kaja kuwa Mfalme …unaweza ukakuta pamoja na neema zote hizo akawa anakumbuka tukio moja tu la kuporwa Mke na Muhuni wa Kimisri Dodi Al Fayed

usishangae huyu Binti akawa na wivu hatare hadi akajikuta na Msongo wa mawazo


kuna Mfanyabishara mmoja mkubwa sana hapa nchini ambae nadhan kila kijana alitamani awe kama Yeye lakini alijikuta kwny Mgogoro wa kindoa kwa miaka mingi sana hadi akajikuta mara kaparamiana na Serikali, mara Wafanyabiashara wenzie, mara wanamichezo hadi akaja kupata maradhi ya moyo na kuaga Dunia huku akiacha kivumbi na jasho cha mali
 
Na Mama ake kamuanzishia ngo inapokea mabilioni. Mume ni waziri tamisemi. Ni maposho ya safari, hapo hatujahesabu maokoto ya rushwa za watu wanaoomba tenda tamisemi. Tena kuna maokoto mengine yanamsubiria kwa ajili ya kivumbi cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaani raaaaha bin raaaaha 🤣🤣
Serikalini wanaramba asali sana ,mimi nilipata connection kuhudhuriana halfa moja ya kiserikali kuna Waziri alikuwepo japo ilikuwa fupi lakini tulikuwa msosi si wa kawaida baadae aliyenipa connection akanipa bahasha ya maokoto ,nikajisemea mimi kajamba nani nimepata maokoto haya je wale wengine wenye shughuli yao watakuwa wamechoka ngapi ?
 
Kuichakata serekali[emoji23] yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku[emoji23]

Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" [emoji23]
[emoji3526][emoji28][emoji28]hamna adabu etiii
 
Back
Top Bottom