Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

Ukisikia kulala masikini na kuamka tajiri, ndiyo huku sasa! Au ule wimbo wa Zali la mentali.
Mkuu, ndoa za watoto wa vigogo sio za bahati mbaya. Dunia nzima, nchi zote, hao huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe au katika familia za wafanyabiashara wakubwa/wazito.
 
Neema ukiizoea wala huoni kama ni jambo kubwa na huo ndio udhaifu wa kibinadamu

Hussein Mwinyi anazaliwa Baba yake akiwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Znz akiwa na Miaka sita Baba yake akaukwaa Uwaziri wa Afya na safari ikaendelea hadi leo.


usishangae King Charles wa England anachukulia kawaida kuzaliwa ndani ya kasri la Mfalme, Baba na Mama ambao wote wanatoka kwny familia za kifalme na walizaliwa ndani ya Makasri na kakulia kwny kasri na hatimae kaja kuwa Mfalme …unaweza ukakuta pamoja na neema zote hizo akawa anakumbuka tukio moja tu la kuporwa Mke na Muhuni wa Kimisri Dodi Al Fayed

usishangae huyu Binti akawa na wivu hatare hadi akajikuta na Msongo wa mawazo


kuna Mfanyabishara mmoja mkubwa sana hapa nchini ambae nadhan kila kijana alitamani awe kama Yeye lakini alijikuta kwny Mgogoro wa kindoa kwa miaka mingi sana hadi akajikuta mara kaparamiana na Serikali, mara Wafanyabiashara wenzie, mara wanamichezo hadi akaja kupata maradhi ya moyo na kuaga Dunia huku akiacha kivumbi na jasho cha mali
Hi code nime ielewa mkuu🤔 Pohamba, ngime Ali wafanyaje wafanyaje biashara wenzie??
 
Serikalini wanaramba asali sana ,mimi nilipata connection kuhudhuriana halfa moja ya kiserikali kuna Waziri alikuwepo japo ilikuwa fupi lakini tulikuwa msosi si wa kawaida baadae aliyenipa connection akanipa bahasha ya maokoto ,nikajisemea mimi kajamba nani nimepata maokoto haya je wale wengine wenye shughuli yao watakuwa wamechoka ngapi ?

Laiti tungejua jinsi viongozi wa serikali ya Tanzania wanavyoishi kwa anasa,tungekwisha kuchukua hatua muda mrefu
 
Mkuu, ndoa za watoto wa vigogo sio za bahati mbaya. Dunia nzima, nchi zote, hao huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe au katika familia za wafanyabiashara wakubwa/wazito.
Mtoto wa cheyo mwanae aliolewa na Hamza kalala, ngoma ya kitimoto ikawambwa ngoma......inategemea.
 
Mkifika kwenye uchambuzi wa zile za ndani kabisa za Mche mniite
 
Back
Top Bottom