Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

Cha ajabu kipi mkuu mpaka kuja kuweka bandiko huku? Mbona hushangai mpaka leo CCM kuwa madarakani?
 
Bila ushabiki Wanyaki kina Mwaisa ni washamba sana na Wasukuma wamewaacha mbali sana..ila nashangaa tu Banter zinaangushwa kwa wasukuma ila forsure wanyakyusa washamba sana

Kazi kwelikweli/Job TrueTrue
CC Mjanja M1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…