Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Aje atuambie kwao aliua?Askofu Mwamakula ukuje huku!
Hawana hela wanapuyanga tu mjini wanahendekeza ngono kama Wahaya.Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
kwakweli bila kutoa shakula ya wasee... Bado mangi.... Big up mnamaHata wachaga wanaorudi moshi bila kufanya mila zao na mitambiko ni wafuata mkumbo tuπ
πππ ndio utamaduni bwasheeekwakweli bila kutoa shakula ya wasee... Bado mangi.... Big up mnama
Mwe! Hawa huwa hawanaga mila ya kwenda kupandana ndugu kwa ndugu au kutambiana nani kaiba au kutengeza kiasi gani mwanangu.Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Kuiba tenaπMwe! Hawa huwa hawanaga mila ya kwenda kupandana ndugu kwa ndugu au kutambiana nani kaiba au kutengeza kiasi gani mwanangu.
Twambombo wa mbomboka na twabana na twabakangale wa mwakangale?Mbona wengine tunaenda mkuu na tumeshafika tayari tupo Tukuyu
π€£π€£π€Hata wachaga wanaorudi moshi bila kufanya mila zao na mitambiko ni wafuata mkumbo tuπ
πππMbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!