Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wamarekani milioni 119 (hii ni kwa ndege tu) wanasafiri tangu jana viwanja vimefurika, highways zimejaa foleni na ticket za ndege ni ghali sana hadi mwaka mpya wanakwenda kwao kujumuika kwa Xmas na familia zao so hata mataifa mengine wanafanya, kwa bongo wachaga zaidi!
 
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.

Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Ni utamaduni wao
 
Bila shaka ulipigwa na hao jamaa, mbona mapovu mengi?
Tanganyika ina makabila mawiili tu?
 
Mbona hujanitag na nilikoment kabisa sioni notification 😢

Ntumie WhatsApp

Yupo kwao huko 😂 😂.....
Nikutagg kaka amini nakuambia!

Utakua hukuiona sababu Notifications zilikua nyingi 🥹

Kwao anafanya nini tena 😂!
 
Back
Top Bottom