min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Yah kwa sababu hiyo ni desturi yao tangu kale na ndio maana wanazika nyumbani kwa sababu ya hilo tukio🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah kwa sababu hiyo ni desturi yao tangu kale na ndio maana wanazika nyumbani kwa sababu ya hilo tukio🤣🤣🤣
🤣🤣 Yaan we jamaa🙌Yah kwa sababu hiyo ni desturi yao tangu kale na ndio maana wanazika nyumbani kwa sababu ya hilo tukio🤣🤣🤣
Muhimu sana........ bila hiyo hutoboi wasee aani ukienda kule afu uishie kuji snap waiiii bora ungebaki na vamwai vaa ha dasalama.... Kida mnama😁😁😁 ndio utamaduni bwasheee
Mbona wengine tunaenda mkuu na tumeshafika tayari tupo Tukuyu
Hata sisi wachaga wamebaki wajinga wachache wanaondeleza huo utamaduniMkuu hujaona wengine hujaona mbona wakinga wapo na wana mihera kibao huwasemi
Shortly Tanzania hatuna jiji, kuna miji tu iliyochangamka.Hata hilo unaloona ni jiji waliotembea wanaona ni kijiji.
Wasalimie kiwira,kk, mwambeghele,Mbona wengine tunaenda mkuu na tumeshafika tayari tupo Tukuyu
Ni utamaduni waoMbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Bila shaka ulipigwa na hao jamaa, mbona mapovu mengi?Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Mimi sisherehekei mkuu, kwangu it's just another day.Ibn Unuq ma brother.... sikukuu inakuja 😂🤔
Hahaha tupo wengi.....Mimi sisherehekei mkuu, kwangu it's just another day.
😂🙌
Anyway sikukuu njema kwako mkuu Monetary doctor.
Uchoyo mkuuHahaha tupo wengi.....
Nimelala tuu ndani hapa..... 😂😂
Mimi nasubiri tuu ulivyo geuza toyo... Ilikuaje aaani
Uchoyo wa nn kaka...... Pilau au nn save number angu hapoUchoyo mkuu
Askofu Mwamakula ukuje huku!
Sawa msalimie shemeji yetu hapo pembeni.Hahaha tupo wengi.....
Nimelala tuu ndani hapa..... 😂😂
Mimi nasubiri tuu ulivyo geuza toyo... Ilikuaje aaani
Mbona hujanitag na nilikoment kabisa sioni notification 😢Sawa msalimie shemeji yetu hapo pembeni.
Halafu story Mbona imeisha mkuu 😂😂
Nikutagg kaka amini nakuambia!Mbona hujanitag na nilikoment kabisa sioni notification 😢
Ntumie WhatsApp
Yupo kwao huko 😂 😂.....
Nawakilisha 💀Afu kumbe jf imejaa wanyakyusa, ndo maana humu ubabe ni mwingi sana......