Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
 
Tatizo ni tall alikuws anakuangalia utosini. Sio poa kabisa
 
Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
Dogo ni haki yangu kufa. Timiza ahadi yako ya kuniua.
 
Back
Top Bottom